Recent content by MIDFIELD

  1. MIDFIELD

    Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

    A brief and brilliant clarification to this idiotic thread Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
  2. MIDFIELD

    Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

    Brilliant. Jakaya Mrisho Kikwete, Kighoma Ally Maluma, January Makamba, kutolea mifano michache. Nao ni waislamu. Anasemaje mleta Uzi hapo Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
  3. MIDFIELD

    Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

    Nadhani wewe ni mmoja wa watu wasiowaelewa. Na una ugonjwa wa udini Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
  4. MIDFIELD

    Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

    Swali zuri sana. Japo Mimi namuona ana bias tu, Hana Cha utafiti Wala nini Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
  5. MIDFIELD

    Kwanini Waislam wengi hawana majina ya kiasili?

    Mimi sikubaliani na observation Yako. Labda kwa kiasi fulani upande wa Zanzibar lakini sio bara. Wapo waislamu wengi mno majina yao ya pili au hasa ya tatu ambayo ni ya ukoo, ni majina ya kiafrika kabisa. Nikisema nikutolee mifano ni mingi mno. Kwa upande wa Zanzibar ni kweli, Nako ni kwa sababu...
  6. MIDFIELD

    JF Exclusive: Video/Audio ya Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine (1978)

    Ilikuwa ajali ya gari kugongana
  7. MIDFIELD

    Nimechoshwa na kuombwa pesa kila siku na vijana

    Mkuu ulichoongea ni sahihi kabisa. Kizazi hiki shida ni kubwa. Wanaomba hela utadhani wamelogwa. Yaani hamuwezi kusalimiana mara mbili ya tatu lazima akupige mzinga. Hasa vijana wa kike ndiyo usiseme. Hii sijui ni laana gani Najua nasemea wengi 70% ya Watanzania ni chini ya miaka 25. Mpaka 35...
  8. MIDFIELD

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Mkuu umenikuna sana katika uzi wako huu. Binafsi kuna wanamuziki wawili ambao huwa naona nyimbo zao na uimbaji wao ulikuwa wa kutukuka. Hawa si wengine bali ni Hemed Maneti (Chiriku) wa Vijana Jazz na Marijani Rajabu (Jabali la Muziki). Bahati mbaya hawa wote wakuwahi kuwaona live wala picha...
  9. MIDFIELD

    EAC- Tanzania Tunaona Mbali Wenzetu Wanapaswa Kujifunza

    Ni kweli ECOWAS wameshajitahidi lakini bado nao pia wana changamoto za kutosha sana tu kwani bado kuna conflict kibao ndani ya nchi zao na ufisadi mwingi, mfano Nigeria. Sarafu moja bado hawajaanza kutumia bado ni katika process tu japo wamepiga hatua. Na hilo sio suala rahisi kihivyo. Angalia...
  10. MIDFIELD

    EAC- Tanzania Tunaona Mbali Wenzetu Wanapaswa Kujifunza

    Tena sio kidogo kiongozi
  11. MIDFIELD

    EAC- Tanzania Tunaona Mbali Wenzetu Wanapaswa Kujifunza

    Swadakta. Umenena kweli mkuu
  12. MIDFIELD

    Kwa Rais Magufuli kutua na ndege hii Chato,sasa ni rasmi Chato International Airport ipo tayari kupokea ndege kubwa za masafa marefu

    Halafu hili jina lako bwn nalipendaga sana. Yaani ni kichekesho sana, halafu lina tia faraja kama mtu una majonzi. SALARY SLIP. Jamii Forum idumu jamani inatuondoleaga stress za maisha kwa kweli
  13. MIDFIELD

    Historia ya wanyaturu

    Nimejaribu kufuatilia conversation na allegations zako dhidi ya hili kabila lililoletwa katika thread. Nimeisoma thread yenyewe, mleta mada hajaongelea saana tabia za wahusika unazowatuhumu nazo. Mategemeo yangu ilikuwa wengine tukijikite kujadili contents za thread, lakini mwenzetu umejikita...
  14. MIDFIELD

    Historia ya wanyaturu

    Well said
  15. MIDFIELD

    Naanzaje kuacha kunywa Bia?!!!.

    Hizo vitamin ndo zinakufanya usiache au kuna kitu kingine. Naamini hizo vitamin unaweza kuzipata katika vyakula vingine. Wewe acha tu mkuu. Maana matokeo ya bia sio mazuri unapokuwa umezinywa
Back
Top Bottom