Recent content by Middle10

  1. Middle10

    JamiiForums Tanzania Betting addiction inanipotezea utulivu kabisa

    Kutoka Feb mpaka tarehe 10 mwezi huu.. Kiasi nilichodeposit 789000 Kiasi nilichokula... 582000... Mambo ni mazito nmejaribu kutuliza wenge kwanza
  2. Middle10

    JamiiForums Tanzania Tuambie uko wapi na unauza nini?

    Nilikwepa umande... Nauza nguvu ( jobless) Haya mwenye uhitaji wa kijana nipo hapa napumua tu
  3. Middle10

    JamiiForums Tanzania Kwa Skimming bora ya Nyumba yako usisite kututafuta..

    Asante mkuu
  4. Middle10

    JamiiForums Tanzania Kwa Skimming bora ya Nyumba yako usisite kututafuta..

    naomba nifundishe kaz
  5. Middle10

    JamiiForums Tanzania Eti mpaka leo bado kuna wanaume wanatapeliwa hela za nauli na za kutumiwa video za ngono

    wanapigwa tu maana sio Kila mwanaume ana ujasiri wa kutongoza..
  6. Middle10

    JamiiForums Tanzania Matapeli wa Telegram walivyogonga mwamba kunitapeli

    Nimekutana nao mara 3 na zote nilikomba pesa zao... Wana utapeli wa kiboya mnoo.
  7. Middle10

    JamiiForums Tanzania Wapi wanaongoza kwa ulozi kati ya Tabora, Kilimanjaro, Tanga, Katavi na Lindi?

    Toa k/ njaro weka mtwara hapo... Wamakonde ulozi wanaanza wakiwa wadunchu
  8. Middle10

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

    Hawajui
  9. Middle10

    JamiiForums Tanzania Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

    Mchumba alichoka ahadi zisizotimizika kwa wakati... Haikua raisi, maana kweli nilimpenda na home alitimba..
  10. Middle10

    JamiiForums Tanzania Hakuna Ubishi Kuhusu Wasomi Kusoma VETA!, Kila Msomi Anayeendesha Gari, Udereva ni Ujuzi wa VETA, Hivyo Hakuna Ajabu Wasomi Kusoma VETA!.

    Mm kila nikijaribu kuomba nafasi VETA natemwa.. mwaka wa tatu huu 💔🙌
  11. Middle10

    JamiiForums Tanzania Mtu ameniblock na mimi nika mbock

    Wote mnachangamoto ya afya ya Akili...
  12. Middle10

    JamiiForums Tanzania Umaskini tu ndio unaotusumbua; Hakuna ubaya kwa wachina kufanya shughuli za umachinga Kariakoo

    Wewe ni Zwazwa japo ni maoni yako....
  13. Middle10

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    02:40 BoraUhai
Back
Top Bottom