Recent content by Midazolam

  1. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki aina ya Honda au yamaha kwa Bei nzuri

    Tangazo juu hapo inajitosheleza,nahitaji piki piki aina ya Honda au yamaha,kwa ajili ya folen i ya hapa na pale ndani hili jiji
  2. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Video: Pastor Bushiri Mtalemwa alitabiri kutokea kwa janga Manyara

    Hawa wote nadhani ni ndugu na chimbuko lao ni nadhani ni Malawi, Kuna Otis bushiri ,Kuna huyo mtalemwa,na yule wa S.afrika. wote wanatumia jina Bushiri
  3. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyakazi wengi wa Serikali wanapenda kutengeneza mazingira ya kupewa hela katika huduma wanazotoa?

    Wewe unataka tule wapi, hii nchi ilishakwenda na Maji. Ni wapi hakuna rushwa, Askari barabarani anapokea live bila Chenga unataka sisi tufanye nini
  4. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Mafataki ya wahindi ni Kero kwa wagonjwa

    Tanzania
  5. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Mafataki ya wahindi ni Kero kwa wagonjwa

    Ni Kero Kweli kweli
  6. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Mafataki ya wahindi ni Kero kwa wagonjwa

    Najua mmepewa kibali, Ila kwa upande mwingine serikali itazame kwa wenye shida ya matatizo ya Moyo na wagonjwa wengine. Mnapiga fataki Kati Kati ya jiji na hospitali zetu zipo ndani ya jiji, Naomba serikali itazame hili jambo kwa Mara ya pili, mnatupa shida na kuleta usumbufu kwa wagonjwa .
  7. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuombwa rushwa ili mgonjwa wako aongezewe Damu hospitali?

    Hapa muhimbili damu ni Bure,na mgonjwa wako atapewa damu Kama group la damu yake inapatikana. Ila tunawaambia ndugu waweze kuchangia kwa mahitaji ya wagonjwa wengine,ili wengine pia wasikose. Damu ni Bure na mahitaji ya damu ni makubwa kwa hiyo tunaomba watu wawe na kawaida ya kuchangia damu...
  8. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kupata Bank Statement

    Wewe unatafuta viza kwenda u.s.a na kwenye account yako wanataka wajue una sh ngapi ili usijeukapata shida Kama utakwama[emoji3][emoji3]
  9. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Kuna kundi kubwa la watumishi ambao bado hawajapata mshahara mpaka leo tarehe 25-10-2024

    Nendeni mkachukue Ela zenu tumeshawawekea
  10. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Binadamu hatupendani hasa makazini wengine tunafosi tu

    Nikupe namba ya mganga umalize kila kitu[emoji1][emoji1]
  11. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Humu unaweza kupotea Bure,hapa si mahala pangu
  12. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Kichomi kwa mama mjamzito juu ya tumbo karibu na chembe Moyo. Nini tiba yake?

    Tupeane elimu kidogo juu ya vichomi kwa wajawazito.
  13. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Ofisi za ustawi wa jamii zimegeuka kuwa chama cha kusaidia Wanawake

    Hii ni muhimu sana,ni vizuri ukitaka kuoa Rudi kwenu kaoe Kabila lako ina manufaa makubwa sana
  14. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Ofisi za ustawi wa jamii zimegeuka kuwa chama cha kusaidia Wanawake

    Nikupe namba ya mganga wa kummaliza afisa ustawi ndani ya DK 5 tu.
  15. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

    Pole.ungejua kijana Yuko kazini wala usingeumiza kichwa. Tunafanya Kazi masaa 24
Back
Top Bottom