Recent content by Midabanu

  1. M

    NSSF ituruhusu tulioajiriwa serikalini kuchukua mafao yetu NSSF tuliojiwekea wakati tukifanya kazi private

    Sikua najua. .kiuhalisia sio hawapaswi kuzuai pesa ya mtu aliweka. Utaratibu huu ni kandamizi kea sisi raia
  2. M

    NSSF ituruhusu tulioajiriwa serikalini kuchukua mafao yetu NSSF tuliojiwekea wakati tukifanya kazi private

    Mwanzo ilikua ukimaliza mkataba wako secta binafsi unaruhusiwa kuchukua mafao yako yote. Lakini sasa upo utaratibu ambao nashindwa kujua kwa nini umeletwa. Mimi nilifanikiwa kuweka michango yangu kwa miaka kadhaa nssf wakati nafanya kazi secta binafsi. Baada ya kupata ajira ya serikali nilikua...
  3. M

    Serikali iwahurumie waliofanya kazi private. Itoe tamko wapewe stahiki zao

    Serikali iruhusu watu waliofanya kazi private kuchukua mafao yao badala ya kusubiri miaka 60 ya kustaafu kwan mikataba ya private ni ya mda mfuli mf. Mwaka mmoja, miwili au mitano. Mtu aruhusiwe kuchukua hela zake kama ilivokua wakati wa Kikwete. Watu wapewe stahiki zao hata kama mtu...
  4. M

    Kwanini waimbaji wa Injili wa kike hapa Bongo hawadumu kwenye ndoa?

    Sababu kubwa ni status. Kutokana na kipaji cha uimbaji wanapata umaarufu kuwazidi waume zao. Mwanamke akishamzidi mwanaume katika nyanja flani anakosa kumheshimu mumewe kama kichwa cha familia. Kwa ivo hawezi kuishi na mwanaume aliemzidi. Ili mwanaume awe kichwa cha familia inabid umzidi...
  5. M

    Ushoga unaweza ukawa ugonjwa

    Sidhani kama mashoga watakuepo kama hakuna mwanaume wa kuwasumbukia. Kiukweli tatizo hili linakua kutokana na maadili mabovu lkn naona linaanzia mbali. Watu wanasapoti pasipo kujua. Na hata serikali inachangia. Sasa ivi imekua kawaida sana watu wanjinasibu wazi wazi wanaenda kwa mpalange na...
  6. M

    Hivi hii serikali inajiona ni nani haswa mbona wanaringa sana

    Wanajibu wanavotaka kwa kua mama anawachekea of course ni mfumo wa ccm. Kwa asilimia kubwa viongozi wa ccm wanaona hayupo wa kuwababaisha lkn ipo siku watajua nguvu ya watu wakichoka
  7. M

    PM Majaliwa: Sheria ya Bandari ya 2004 inaipa TPA mamlaka ya Kusimamia Bandari zote Nchini, hakuna Mtu au Taasisi inayoweza kuinyang'anya haki hiyo!

    Hii ishu ya bandari inatumika nguvu kuaminisha kama tutapata faida lkn kwa nn hawataki kuongelea na kufafanua vipengele vyenye utata kwenye mkataba. Dah katika tumepigwa
Back
Top Bottom