Recent content by Microsopist

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sperm Analysis Report: Madaktari naombeni view yenu.

    Maana naelewa kuna njia kama tatu zinaweza kutumika kwenye collection ya sperm japo na hyo ya punyeto ipo lakini siyo best sana, na pia muda ulio kaa hadi kufikia kutoa ni muda gani, hii inaweza kufanya volume ikawa ndogo ama kubwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sperm Analysis Report: Madaktari naombeni view yenu.

    Mkuu kabla hujafanya hyo sperm ulikaa kwa muda gani ndo ukatoa hizo mbegu, na ulitumia njia gani wakati unazikusanya pia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Mrejesho ni muhimu sana,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burundi azindua kampeni ya kubadilisha Katiba

    Muda wake nae unakuja akamuulize mugabe, kuna wakati watu huwa uvumilivu unaisha pia
  5. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yautupilia mbali ushahidi ulioletwa na Nassari na Lema wa madiwani kuhongwa

    Hawa ni kama huwa wanadhani kila mtu ni mjinga sana, ndo maana wakati mwingine wananchi huwa hawatoi taarifa za rushwa kwenye hii taasisi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mshaurini mwanamke huyu, nitampelekea ushauri wenu.

    Hata akisamehewa baada ya muda atarudia tena inaone ni kama tabia yake, inaweza kuwa imetokana na sababu ama tamaa ama maisha magumu, ama ndo tabia yake
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimekuta meseji za mapenzi kwenye simu ya mpenzi

    Kuchapiwa ni siri ya ndani, ila sidhani kama ataacha mara nyingi huwa wanatumia kilio kama kujutia makosa ila moyoni huwa ni tofauti mkuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Pesa yangu inapotea bila kujua inaenda wapi!

    Mshana njoo huku utoe ufafanuzi, mkuu kwani huwa inapoteje ama una matumizi mengine ya ziada
  9. M

    JamiiForums Tanzania IMF: Kuna viashiria uchumi wa Tanzania unaendelea kushuka

    Mimi naona uchumi unakua tu kwenye makaratasi ila hali ya huku mtaani ni mbaya sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nini madhara ya kubakwa...!?

    Ebu eleza vizur kwnza, kubakwa ama kuna kingine unamanisha maana sielewi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Siku tatu kutoa mahari nakutana na meseji anaomba pesa kwingine

    Fanya uchunguzi kwanza ili ujue huyo my wake ni nan mkuu, maana anaweza kuwa ni binamu yake
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 20 pekee ndio wanaojua kusoma kati ya wanafunzi 164

    Jitihada za ziada zinahitajika sana, kwa wanafunzi , wazazi na walimu pia
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakubwa wakiambiwa ukweli wanakimbilia kukuchunguza uraia wako?

    Hawataki ukweli tu,
Back
Top Bottom