Recent content by mickybaba

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikujui na haunijui bro ila kama upo 27-38 usioe mdada ambae ameshaona mengi kwenye mahusiano atakutesa sana

    Sasa kama umri huo anaweka vijiti itakuaje akifika miaka 30 ambapo ndio utamuoa? Huyo uliemkuts hapo labda kaanza akiwa na miaka 16 sasa unapomsubiri afike miaka 30 sura ya chini inakuaje
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sio dili, ni wajibu...

    Mzazi kumsomesha mtoto haipaswi kuwa uwekezaji unaosubiri faida siku moja. Watoto hawazaliwi kama mikataba ya kurejesha mkopo. Wanahitaji malezi bora, elimu na upendo—si kwa sababu watatulipa kesho, bali kwa sababu ni jukumu letu leo. Mzazi anapaswa kutoa elimu bila masharti, na kulea bila...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mtu ukifanya sana ngono unapoteza nuru usoni ?

    Kama ukiwa makini kusoma utagundua kuwa kawaongelea wanaume kama wahanga yaan ndio wanaopoteza. Na amesema anafikir kuwa sex inawanufaisha zaidi wanawake. Sasa huyo Mia Khalifa ni mwanaume?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1988 Chakachaka alipiga show Makondeko Kibamba kiingilio kilikuwa 100,000

    Angalieni bill ya usiku mmoja wavuvi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alijenga kanisa nyumbani kwake, Askofu Niwemwigizi akagoma kulipokea

    Hata Adolf Hitller bado anakumbukwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania LUGHA YA MASHINE

    Mwishowe, ulimwengu ulijifunza kuwa NLP haikuwa juu ya kuzifanya mashine ziwe kama wanadamu, bali kufanya mawasiliano kati ya binadamu na mashine yawe ya asili zaidi. Ilikuwa daraja kati ya mantiki na lugha, kati ya wanadamu na teknolojia, kuhakikisha kuwa mawasiliano yatabaki wazi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Toyota Porte kwa taxi mtandaoni

    Asante kwa kufafanua vzr, nitazingatia.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Toyota Porte kwa taxi mtandaoni

    Asante sana mkuu, nakuelewa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Toyota Porte kwa taxi mtandaoni

    Kwa nini bajaj, gari hailipi au.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Toyota Porte kwa taxi mtandaoni

    Ndugu zangu habari. Baada ya baadhi ya shughuli zangu kwenda mrama nimeamua kufanya kazi ya taxi mtandaoni maarufu uber. Sasa nimekuja hapa jukwaani kuomba ushauri kutokana na gari nitakalotumia. Gari langu ni toyota porte, namba DX cc 1490. Hii gari huwa naitumia kwa shughuli za hapa mjini na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mpenzi wa gazeti gani miaka ya nyuma?

    Kwangu mimi hakuna nyakati nzr za kusoma kama zile nyakati ambazo tulikua tunasoma vijarida vya sani, tabasamu na bongo, hii ni kabla ya ujio wa magazeti ya udaku nafikiri. Kwa ambao walikua ktk umri wa kusoma na kukumbuka wataelewa ninachoongea hapa. Jarida linatoka mara moja kwa mwezi na kuna...
  12. M

    JamiiForums Tanzania ChatGPT imekuja kivingine kabisa, sasa unaweza kuiambia ichore picha yote yakifanyika kwa kutumia bando lako la simu

    Kwa msaada save hii namba 18002428478 ambayo unaweza kuitumia badala ya app. Hii unaitumia whatsapp pekee.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

    Yaan mke wangu awe na boss wake sio? Yaan awe na mtu mwingine ambae anampa amri zaidi yangu? Kwangu hapana...
Back
Top Bottom