Katika kataba mpya ya Tanzania, Watanzania tuingize kifuatacho. Mtuanapiga kura endapo amri wa miaka 18 au zaidi. Basi kuwe na umri wa mwisho wa kupiga kura.
Kama ilivyo kuwa mtumishi wa uma anavyo staafu miaka 60
Vyama vingi vya siasa, vina ujanja wa kuteka watu uwanjani na kuona kuwa wana watu wengi.
Hawajui sio kila akupigiae makofi ana kushangilia, Ingekuwa hivyo umati huo ccm isingeshi. Utaona uchaguzi wa Arusha.
Naona kuna haja ya vyama vya siasa hasa chadema na nccr wakae pamoja na kuona swala la KATIBA simchezo.
Ni la nchi nzima na ni kwa manufaa nchi. Maandamano na uvunjivu wa AMANI hayana nafasi jinsi unyeti wa katiba ulivyo.
Watuachie sisi wananchi tutoe maoni yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.