maandamano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maandamano

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by micksawe, Nov 23, 2011.

 1. micksawe

  micksawe Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Naona kuna haja ya vyama vya siasa hasa chadema na nccr wakae pamoja na kuona swala la KATIBA simchezo.

  Ni la nchi nzima na ni kwa manufaa nchi. Maandamano na uvunjivu wa AMANI hayana nafasi jinsi unyeti wa katiba ulivyo.

  Watuachie sisi wananchi tutoe maoni yetu.
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  maandamano sio uvunjifu wa amani.youare wrong.
   
Loading...