Pamoja na tamko lako Mhe Rais JPM, Rais wa Wanyonge kwamba Mwekezaji mzawa wa Coco Beach asinyanyaswe lakini bado ameendelea kuzungushwa na manispaa ya Kinondoni imefika sehemu wanampa mkataba kisha wanaenda kuukana mahakamani,wanampa mkataba tena wao wenyewe wanasema hawautambui.
Nakuomba Rais ingilia kati hili jambo ili huyu mnyonge apate haki kwa wakati. Pia serikali ianze kupata kodi yake kwa kumpa mkataba mara moja kuliko huu ubabaishaji wanaoufanya hapa manispaa ya Kinondoni.