Recent content by mickey coltello

  1. mickey coltello

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya nitapangwa comb gani advance?

    Kachukue ECA kijana
  2. mickey coltello

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Single Movies za kizungu tu. Taja Movies mbili kali kuwahi kuona katika maisha yako

    1.The raid redemption 2. SPL zote Oya hizo chuma ni hatari[emoji91][emoji91]
  3. mickey coltello

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kozi ya Accounting and Finance

    Sawa kaka
  4. mickey coltello

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kozi ya Accounting and Finance

    Naenda Mzumbe kaka
  5. mickey coltello

    JamiiForums Tanzania Animation movies kali kuwahi kutokea

    Nenda website za nkiri.com, yts, fzmovies, waploaded au download app ya moviebox utazipata
  6. mickey coltello

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Msaada gcam ya Huawei p40 lite
  7. mickey coltello

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kozi ya Accounting and Finance

    Ningependa kujua ni sehemu na kaz zipi unaweza pata
  8. mickey coltello

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kozi ya Accounting and Finance

    Ningependa kujua kiundani juu ya kozi hii ya BAF ni kivipi mtu aliesoma anaweza kunufaika na sehemu ambazo mtu anaweza kuajiriwa. Nakaribisha wataalamu kwaajili ya maelekezo.
  9. mickey coltello

    JamiiForums Tanzania Animation movies kali kuwahi kutokea

    Hizi nioja ya animation kali nilizowahi kuangalia 1.nezha 2.nezha reborn 3.Raya and the last dragon 4.Coco 5.Luca 6.The white snake zote mbili 7.How to train your dragon ZOTE 8.Spy in disguise 9.Madagascar 10.Khumba 11.Ronal the barbarian 12.Soul 13.sing 14.secret life of pets 15.the monkey...
  10. mickey coltello

    JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa Anime tukutane hapa

    Nisaidie channel ya telegram ninayoweza kadownload Attack on titan
  11. mickey coltello

    JamiiForums Tanzania Series bora ulizowahi kuangalia

    Kuna mwanangu anaisifia sana hii embu subir niicheki
  12. mickey coltello

    JamiiForums Tanzania Series bora ulizowahi kuangalia

    Zinaonekana zamoto sana[emoji91][emoji91]
  13. mickey coltello

    JamiiForums Tanzania Series bora ulizowahi kuangalia

    Ni balaa[emoji1787][emoji1787]
  14. mickey coltello

    JamiiForums Tanzania Series bora ulizowahi kuangalia

    Kwangu mimi hizi ndo series bora kuwahi kuangalia 1.VIKINGS 2.GAME OF THRONE 3.SEE 4.SIX FLYING DRAGONS 5.FROM 6.INTO THE BADLANDS 7.PEAKY BLINDERS 8.HALO 9.SQUID GAME 10.IRIS 11.ILJIMAE Kama unajua series nyingine kali unaweza kushare
Back
Top Bottom