Recent content by mick2015

  1. M

    JamiiForums Tanzania Aliniambia ana PhD ila nikimtumia sms za kingereza hajibu

    PHD ndio nini? na pHd ni nini?
  2. M

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo mnapata wapi pesa za kuendesha chama?

    kwani CHADEMA hela ya kurusha helcopter nchi nzima wakati wa kampeni walizitoa wapi? CHUKI TUU.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa John Mnyika Musoma mjini Leo!

    CHADEMA mmetukana mmedharaulika kwa kuhamasisha maandamano hamna sera? aina ya siasa yenu ni siasa ya ukombozi je mnakomboa nini??? sera safi hukifikisha chama madarakani je! wao wanasubiri lini?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa John Mnyika Musoma mjini Leo!

    mhh! ACT watawagonganisha sana vichwa sana nyie people.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro ACT-Wazalendo: Mwenyekiti Taifa atishia kuachia ngazi

    zusheni tu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hali Ya Askofu Gwajima Kwa Sasa

    yuko poa!.
  7. M

    JamiiForums Tanzania ITV na Azam Tv kurusha LIVE uzinduzi wa ACT-Wazalendo

    Zitto anazijua pressure point CDM sasa akianza kupanda majukwaani nahisi watalazimika kumfuata na kumjibu kama walivyoanza.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

    ukiangalia haraka haraka utauona upendo, lakini kwa kina kuna kachokochoko ka udini na kwa wazi kuwa Slaa ana bif na Pengo ambaye amewahi kuwa bosi wake wa kiroho.
Back
Top Bottom