Mkuu sio kweli kabisa nimewahi kufanya kazi taasisi ya mikopo ingawa tulikua tunakopesha watumishi tu lakini kwenye suala la hela usimuamini ndugu yako hata kidogo hasa masuala ya udhamini wa mikopo utaachiwa huo mkopo utaulipa na hautaamini.
Mimi nilikua naamini zaidi watu wanaokuja ofisini na...
watumishi mchukue huu ushauri mkopo usizidi miaka miwili unakua nyonya damu, mtu anachukua milioni kumi kwa miaka kumi seriously? halafu hela unaenda kujengea hapo katikati utaishije? ndani ya miaka miwili unapata shida nyingine unaenda ku top up deni lina shoot mpaka mil 30 kasoro halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.