Recent content by michibo

  1. michibo

    JamiiForums Tanzania Naombe location viwanja vya Tabora vya kula bata

    Ulizia mitaa ya Kanyenye kuna kiwanja jirani na Chungu cha Bibi, kinaitwa the Terrace sijui..... maeneo hayo hayo kuna viwanja vingi tu.
  2. michibo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno bila sauti kutoka kwa dadaz

    Huo msisitizo hapo mwishoni unatia shaka.
  3. michibo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji Pembe afariki dunia

    RIP Pembe.
  4. michibo

    JamiiForums Tanzania Top 5 viongozi bora Afrika 2024

    Umesema vema, maoni yako.
  5. michibo

    JamiiForums Tanzania Simba kufungwa mara nne mfululizo siyo dili kama tunavyoaminishwa

    Badala ya kujirekebisha mnajitahidi kujitetea, mtaendelea kuuchezea tu.
  6. michibo

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kashikwa uchawi nikimuliza ananijibu ni Imani ya kazi

    Yeye ndo anapaswa ajitenge na wewe ili awe na washirika wenzie kwenye kazi.
  7. michibo

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kashikwa uchawi nikimuliza ananijibu ni Imani ya kazi

    Hofu yako nini?
  8. michibo

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayomkuta Gachagua ingekuwa ni Tanzania hata Shujaa Magufuli angeonekana ni Mkabila badala ya Mcheza Kwao Hutunzwa!

    Ukiwa na akili timamu huwezi kujilinganisha na Kenya kwenye siasa.
  9. michibo

    JamiiForums Tanzania Milo mitatu kama hufanyi kazi ngumu ni tamaa na ulafi tu

    Mmeanza tena!
  10. michibo

    JamiiForums Tanzania EX wa Dkt. Mwaka azidi kuwaacha watu midomo wazi

    Mentally challenged mshangazi.
  11. michibo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msiotumia pombe kuna kitu mna-miss muwapo faragha na wenzi wenu

    Pale unapodhani ukipendacho wewe ndo standard kuwa wengine walipaswa kukipenda!
  12. michibo

    JamiiForums Tanzania Pesa za biashara kuchukuliwa zote kwenye droo ya kuhifadhia pesa kimazingira

    Umeambiwa pesa zote za mauzo zinapotea, kama nimeelewa vema.
  13. michibo

    JamiiForums Tanzania Pesa za biashara kuchukuliwa zote kwenye droo ya kuhifadhia pesa kimazingira

    Na bado unajiita TEAM 666!
Back
Top Bottom