Recent content by michi

  1. M

    BOOM LA LOAN BOARD St AUGUSTINE CHEQUE IMEWEKWA FIXED ACCOUNT.

    Achen ushabik,serikali haina hela,hata huku mbona hatujapata!
  2. M

    Hawa wanamuunga mkono Lowassa ktk CCM. Nani mwingine unamjua?

    Namuunga mkono el 100% japo mi sio ccm
  3. M

    Wanaopinga mahakama Kadhi "Intellectual Arguments" only

    Hakuna aliyekataza ila mnatakiwa muanzishe katika mfumo wa Bakwata na sio kupitia serikali maana Serikal haina dini.Mbona hapo liko waz kabsa!
  4. M

    Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    Uliyepost thread hii,unatakiwa usamehewe maana hujui uliloliandika.
  5. M

    Modern Wives...!

    'we' must take a great care
  6. M

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Si jukumu letu kuhukum bali wajibu wetu kupima(kujaribu) mambo yote kwa neno-jins Yesu aliagiza,ili kutofautisha kat ya Mtumish wa Mungu na asiye wa Yesu na ili kushika lile lililo jema(la Mungu)-1thesalonike 5:21,1yoh 4:1, Kama Biblia(neno-ambalo ni MUNGU-yohana 1:1, limeturuhusu kupima...
  7. M

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Nimefuatilia kwa muda mrefu juu ya "tiba-miujiza" inayotolewa na Babu wa loliondo.Kwa wengi wanaomuunga mkono ni sabab "wanajihisi?" wameponywa na dawa hiyo kimuujiza,na wanaompinga n kutokana na asili/chanzo cha dawa hiyo. Dawa ya babu ikipimwa kwa vigezo vya kibiblia inapwaya ndio maana wa...
Back
Top Bottom