Mangandula
Senior Member
- Nov 30, 2011
- 184
- 37
Mtoa hoja ana hoja ni jukumu la CDM kujiandaa, inavyoonekana CCM hawataki demokrasia ikue wakiona chama kinakua lazima waiingize maajenti wao, waliiua NCCR, wakaikata mkia CUF na sasa wanaimalizia kwa kuiponda kichwa. Matatizo yote haya kama mtakumbuka chanzo chake ni pesa hasa za ruzuku.
Kwa nini CDM imekuwa ngumu kuingilika, kwanza ni determination ya viongozi, waasisi wenyewe na viongozi waliopo, pili CDM hakina njaa viongozi wake wameshiba otherwise Mbowe angeshanunuliwa zamani, tatu kadri kinavyoendelea kuwepo ndivyo kinavyojiimalisha, kina mifumo yake ya kujilinda (usalama wa chama), leo CDM kina watu wake ndani ya vyama vingine (CCM, NCCR, CUF nk) kwa hiyo ni rahisi kupata habari zozote hasa mbaya.
Shibuda is nothing mimi naomba aendelee kuwepo CDM anakikomaza zaidi chama kuliko wengi wanavyofikiria chama kinaonekana kumbe kinaweza kuvumilia na ku accommodate watu wa type ya Shibuda, Zitto alikuwa threat by that time lakini leo is no longer.
ya shibuda kweli wewe umeongea, shibuda anaikomaza Cdm wamwache tu yeye mwenyewe baadae atajiona ni mpumbavu fulani anayetumika kwa masirahi ya wakubwa! Yaani kwa kutetea posho anajimaliza mwenyewe kwa wapiga kura wake pia wananchi wengi waliokuwa wanamsapoti wanaona ka chizi fulani asiye na mwelekeo, yeye ni bora liende.