Recent content by Michembe MITAMU

  1. M

    Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

    mimi ni nani hata nikatae? tena hakuna mke wa mtu mgumu mbele ya boss wake kwanza wanawake huona sifa akitongwa na boss wake. wengine wanawaringishia wanawake wenzao kutoka kimapenzi na wafanyakazi wenzao.
  2. M

    Bei za nyanya na vitunguu Kwa Sasa zikoje sokoni kwa gunia au create?

    huku kwetu 20000 dumu lita 20 bei hiyo ya shambani sokon 25000
  3. M

    Kilimo cha vitunguu kwa mikoa ya Singida na Manyara

    Mkuu wala usiende huko mbali kote nakupa siri hii nenda maeneo ya sarawe kijiji flani kinaitwa mahando kule kuna mbuga za kutosha ongea na wenyeji wakupe abc namna ya kukodi ingia shambani kitunguu kinastawi sana kwenye hiyo mbuga. mwaka 2019 nilkuwa na katisha kwa pikpik ilikuiwa kiangazi mwezi...
  4. M

    Je, teknolojia katika ufugaji wa samaki inaweza kuleta athari?

    Mkuu sio mbay ukanicheki kunipa mwongozo ABC nkuja pm saivi.
  5. M

    Je, teknolojia katika ufugaji wa samaki inaweza kuleta athari?

    hongera sana mkuu. moja kitu nachowaza sana kukifanya siku za usoni. Je unafugia wapi mkuu?
  6. M

    Mbele ya Mwenezi Makonda, Raia apigilia msumari madai ya CDF. Amtuhumu Kigogo wa Uhamiaji kuendesha genge la biashara haramu ya binadamu

    huku kuna watusi walishavamia mashamba ya wazee wetu wakijimilikisha .. wazee walipoanza kesi walifatwa nakuambiwa wawauzie la sivo hawataambulia kitu. wazee wakafanya hivyo kwa uoga. je naweza kuwashitaki hao wanywarandwa?
Back
Top Bottom