Katibu mkuu mpya Chadema nakuomba kwa moyo wa dhati siasa maneno tuiziki tuanze siasa vitendo;
1. Tuwatumie wapenzi wa chadema kuunda makundi ya wakulima,wajasiliamali na tuwatafutie mitaji na masoko ya bidhaa zao.
2. Kila mkoa uandae mikakati ya kuwainua wanachama wetu kiuchumi kwa...
NI ICJ SIO ICC.!
Kuna watu wamekua wakihoji iweje viongozi wa UKAWA waende ICC wakati hakuna makosa yoyote ya uhalifu wa kivita yaliyotokea nchini? Wengi wanaoongea hivi ni CCM na wanaonekana wazi kuwa wako misinformed. Mara nyingi CCM huwa wanajenga hoja bila kuwa na taarifa za kutosha...
niulize kidogo,mnajua wajibu wa mwanachama wa chadema?mnajua lengo la chadema? hata mwanamke anaweza kuwa mchapazi kwa jamii lakini asiwe na msaada kwako mwenye mke!hivyo ukimwacha jamii ile italalamika sana kuwa umeacha mke mwadilifu lakini wasijue usiku ukiwanae anakufanyia nini?
labda wewe zito humjui vizuri usimfananishe na musa,mtu ambaye ameshindwa kuishinda tamaa hivi wewe unaona zito ni kiongozi mzuri kwa lipi hasa kuongoza siyo kuibua tuhuma hata hizo tuhuma alikuwa anapewa na watu akazungumze siyo yeye alitafuta taarifa.ni vizuri ajifunze namna ya kuendesha siasa
Huyu ni naibu katibu mkuu chadema,mbunge chadema,naibu kiongozi kambi ya upinzani bungeni,waziri wa fedha kivuli,mjumbe wa kamati kuu chadema,mwenyekiti wa PAC ,nk.mtu umepewa nafasi zote hizo ktk chama lakini unasema kwenye vyombo vya hab...ari kuwa ndani ya chama hakuna demokrasia wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.