michaeljuma1986
Member
- Mar 25, 2012
- 38
- 12
Katibu mkuu mpya Chadema nakuomba kwa moyo wa dhati siasa maneno tuiziki tuanze siasa vitendo;
1. Tuwatumie wapenzi wa chadema kuunda makundi ya wakulima,wajasiliamali na tuwatafutie mitaji na masoko ya bidhaa zao.
2. Kila mkoa uandae mikakati ya kuwainua wanachama wetu kiuchumi kwa kuwatafutia wataalamu wa kuwafundisha namna ya kulima,kufuga na kupata masoko.
3. Chama kiunde kila mkoa mashamba darasa ya kilimo,ufugaji na ufundi pamoja na michezo.
4. Chama kitafute wafadhili ndani na nje wakuwedhesha hilo
Tuwaachie CCM siasa maneno yao.
By Michael Juma,
Dodoma.
0765129913.