Recent content by michaelfabian

  1. M

    Kuelekea Kariakoo Derby: Simba SC ndiyo timu yenye kiwango bora hadi hivi sasa

    tatizo unawasilisha kwa hisia zako za mlengo wa uteam maada zako zote ni trash zimeegemea upande flani
  2. M

    Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

    mkuu japo umefanya maamuz sahihi lakin ni ya haraka sana kama ungesubiri ungepata majibu yote kuwa hawa watu hivyo vitu na vituko ni mipango yao yote maana apigaye mruzi baadae ataimba tu nyimbo yenye kueleweka mda huu utaambiwa tu unamfukuza mke kwa maneno ya mdogo wake tena alisema kwa hasira tu
  3. M

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Nyie wototo mliozaliwa na kukulia mjini nyie mnatabu sana dogo ipo siku utatoka mjin alaf utakuja kutubu hapa wee acha tu mim mwenyew nilitoka sinza nikaendaga kusoma shinyanga vijijin huko nikakubali mim ni kama dem wa mjin mbele ya wanawake wa kule asee
  4. M

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Mungu akubariki sana damu yangu akuzidishie ridhki halali You made my day
  5. M

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    mademu mabaya yanaongoza kwa kuringa[emoji23][emoji23]
  6. M

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Goma kila ukiliperuz utamu unazidi kuongezeka shusha mavitu poti
  7. M

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Emma kayavagaa tena[emoji23]
  8. M

    Umeshawahi kurudiana na ex wako na penzi likanoga kama zamani?

    ndie mke kwa sasa lakin ndio kosa kubwa nililofanya na nalijutia maisha yangu yote [emoji17]
  9. M

    Utabiri: Huenda kiongozi mkubwa wa Taifa kubwa duniani siku zake zinahesabika

    [emoji16][emoji16]mmarekani sio boya kiivyo anaijua nyuklia tok mwaka 45 na kumbuka sayansi haisimami mzee
  10. M

    Utopolo kusikia wamepangiwa Al Hilal akili zimewaruka, nyie si mnasema mna kikosi cha Man City

    Lakin hii inakuaje utopolo hawana hofu ila hofu imewajaa manyonyo Fc hii kitaalamu ni syndrome gani
  11. M

    Nimfuate au nikomae tu?

    Ukimfata tu hiyo ndio itakuwa style na mfumo wenu wa kila litokeapo tatizo
  12. M

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    mwenye nyimbo ile ya Filamu ya moyo naiomba wazee
  13. M

    Nini kilikuwa chanzo cha mapato ya Bwana Yesu?

    Sasa mara ya mwisho wajuba wanaogombania kanzu yake ilikuwa haina sehemu iliyoshonwa angenunua wapi kanzu kama hiyo
  14. M

    Nini kilikuwa chanzo cha mapato ya Bwana Yesu?

    Kwanza hiz fact zako according to nin maana nilichoona hapa umesikiliza kipindi cha wasafi kile na umechukulia sahihi ukaona Yesu alikuwa msela tu bro jaribu kukua mkubwa
  15. M

    Msaada tafadhali, napitia wakati mgumu sana

    Sasa we umepajua kushoto na yeye akienda kulia kwa mtaalam zaid itakuaje hiyo vita ujue tena vita hatari inayohotaji kinga kubwa Sent from my SM-N920S using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom