Habari za humu ndani wakuu?
Wanasemaga kuuliza sio ujinga.
Eti ukijulikana una tatizo la moyo kwenye mishipa au kitu chochote kinachopelekea moyo kuwa na tatizo ni lazima ufanyiwe upasuaji au kuna matibabu mengine yataendelea?
Na je kuna uwezekano wa kupona baadhi ya visababishi...
Hahaha pole sana kaka
Mimi hiyo kitu ilinitokeaga pale mchicha nilikuwa nimeitungua na ule mteremko wa flyover ya mfugale basi Daaah nikicheki dashboard speed 140 alafu watu ndo wanataka kukatiza walipo iyona imeiva huko wakatulia bwaaana!.....bwaana! Kumbe walikuwepo njaa kali bwana, si ndo...
Habari zenu ndugu zanguni
Kuna maumivu ambayo nayapata kwapani ambayo sijui yametokana na nini
Yalianza juzi nilipo amka tu nikahisi maumivu kama kuna kipere lakini nikapuuzia
Ila jioni maumivu yakawa makali sana kiasikwamba mpaka nikapata homa ila nilimeza paracetamol homa ikashuka nikalala...
Kuna wakati huwa nacheka mwenyewe tena kwa sauti
Unakuta mganga anamwambia mgonjwa eti Lete kuku, mbuzi ng'ombe nk.
Lakini sijawahi sikia au kuona amemwambia mgonjwa eti niletee tembele au bamia
lakini najaribu kuwaza hivi vitoweo ndo chakula cha shetani au vipi
Waganga Kama mpo humu hebu...
Habari za humu wana jamvi
Jamani chombo hicho kipo sokoni
TOYOTA IPSUM
Bei 9.5 mawasiliano 0679988696
Ipo muda wote piga simu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.