Recent content by Michael Bosco

  1. Michael Bosco

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kumbe bado
  2. Michael Bosco

    JamiiForums Tanzania VR inazidi Kuangaza juu ya Polepole inasemekana ni mwizi 2015 na pia mtekaji mkubwa

    🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
  3. Michael Bosco

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Apewa Tuzo na Makandarasi wazawa kuongeza wigo wa Thamani ya kazi za wazawa kutoka Bilioni 10 Hadi Bilioni 50

    Hakuna mwaka wakandarasi wanalia kama mwaka huu. Usiombe yakukute kukopwa tu
  4. Michael Bosco

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CAF Wapeleke Mechi za Ufunguzi & Fainali ya AFCON 2027 Kenya Kuna Mashabiki Kuliko Tanzania ambao Wanasubiria Yanga vs Simba Kujaza uwanja

    Punguzeni siasa za ccm kwenye mambo ya msingi mtaona watu uwanjani
  5. Michael Bosco

    JamiiForums Tanzania Lissu Hana Familia Nchini na Watoto Wake Wana Uraia wa Marekani.Ndio Sababu Hana Uchungu na Tanzania hata kukitokea Machafuko na kuchinjana.

    Fala toleo la mwisho kuwa uwezo wako wa ku reason ndo umeishia hapo kwa haha yanayoendelea nchini
  6. Michael Bosco

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Kwa heshima ya Simba Leo tupe kitu
  7. Michael Bosco

    JamiiForums Tanzania Gharama ya uanzishaji wa kiwanda cha pombe

    Let's be serious
  8. Michael Bosco

    JamiiForums Tanzania Gharama ya uanzishaji wa kiwanda cha pombe

    Msaada tutani nilikuwa nauliza gharama ya kununua na upatikaji wa mitambo ya kuanziasha kiwanda cha kutengeneza pombe Kali jamii ya double kick, strong etc. Kwa yoyote mwenye ABC karibu. Ahsante
  9. Michael Bosco

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kanunue mandazi ule acheni ushamba na we andika story yako isiwe chai
  10. Michael Bosco

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume kumgeuza rafiki ndio kila kitu kwake

    Ushauri wa usiku Jitongozeshe kwa rafiki ake halafu utajua mbivu na mbichi.
  11. Michael Bosco

    JamiiForums Tanzania Mwanza wazidi kuporomoka, wazidiwa na Dodoma, Pwani na Mbeya kwenye mapato

    Kumbuka na dodoma wanajenga machinga complex ambayo itachukua idadi kubwa wa wafanyabiashiara na ushuru pia. Pale uwanja wa barafu Kuna fremu zinamwagika za kutosha so dodoma ukilinganisha na mwanza kwenye ukuaji kwa miaka mitano nyuma lazima tukubali dodoma inakua kwa kasi sana. Na mbeleni...
  12. Michael Bosco

    JamiiForums Tanzania Uzamiaji Afrika Kusini: Mikasa katika harakati za kuzamia Afrika Kusini kwa njia za panya

    Pamoja mkuu japo story yenyewe inaonyesha kama ya kutunga pia inakosa uhalisia baadhi ya maeneo
Back
Top Bottom