Naanza na salamu kwa wote mlioko kwenye mfungo, natumaini hamjambo.
Iko hivi, Unakuta mnauhusiano na mtu au watu fulani either kimasomo, kikazi au kiutafutaji. Punde tu mmoja wenu katika hizo nyanja za kuwa pamoja akifanikiwa unakuta anakimbilia kubadilisha namba ya simu.
Binafsi hii hali Huwa...
Jina la kitabu changu ningekiita. NDIVYO YALIVYO.
Sababu.
1. Mpaka Saa hii nimegundua kubishana Sana na hali ya maisha ni kujipotezea muda.
(Ndivyo YALIVYO)
2. Mapenzi bila pesa ni bure hata waje watabiri wa nyota ILa mwisho pesa ni muhimu.
(Ndivyo YALIVYO)
3. Marafiki wengi wanamatatizo...
Nimefurahi kujua pia tuko wengi.
Huwa najishangaa sana, wakati wakusoma o level to A level baba alinihimiza Sana kushika urafiki na watu wanaoongoza darasani.
Sasa Mimi Huwa ni opposite na mawazo yake maana wanaokula Mara nyingi hujiona na majivuno mengi hivyo na pigs chini natafuta average...
Kwa sababu ya kuwa hivyo kwa mda mrefu nilikuwa nikiona Sina tatizo lolote na mtu akili haikuwahi kupata destruction yoyote hadi pale nilipoingia kwa uwanja wa mapenzi na kuandikia hii sms na msichana huyo " Forgive and forget" ilikuwa zaidi ya bomu ya yerushima japani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.