Naomba kujua hili limekaaje kisaikolojia

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Kiuhalisia ni mtu muongeaji Sana Mimi mia saba. Ila ni mtu mkimya Sana na nikikuzoea hutoamini. Maana na jua kutengeneza story za kufurahisha nikiakikisha huboreki tukiwa pamoja.
Shida inakuja Huwa sidumu na mahusiano na mtu yoyote yule ya kiurafiki baada ya kujua ana vitabia flani flani kama kusema watu, mbinafsi, mchoyo mbaya zaidi nilijua unanisema na hivyo.
Imepelekea kuamini kuwa nikiwa pekeangu Mara nyingi ndio nikiona na kua katika mambo mengi nikitafakari zaidi na nikiingiliana na watu wengine.
Mda mwingine na choka kukaa na watu, imepelekea toka nimesajili laini 2013 hadi sasa haijawahi kuzidi watu 20 niliowasave kwa simu. Mara nyingi nikimfahamu mtu vizur nikaona anaviashilia vilevile nafuta kila kitu nilichonacho.
Nikiwa primary to secondary 7yr nilizoeana na watu 5 tu
Secondary hawazid 5
Advance hawazid 6
University ndipo nilijikuta naanza kujuta kufahamiana na watu, maana niliona katika kufamihana na watu najipoteza mwenyewe. Unafki mwingi mno Kiufupi.
Na pia Huwa nazoena na mtu Mara moja tu. Nikikuondoa kwenye akili yangu huto kaa turudiane hata iweje.
Sasa najiuliza hili nitatizo au nishikilie huo msimamo niliozaliwa nikajikuta hivyo.
Naomba mtazamo wako.
Kabila mkurya
jinsia male
 
Wewe in perfectionist. Kuna tabia nyingi za msingi za binadamu na kimsingi hakuna tabia iliyo nzuri tu au mbaya tu. Kila tabia ya msingi ina uzuri wake na ubaya wake. Wewe in introvert na inaweza kuwa extreme introvert na hii sasa inaweza ikaanza kuwa tatizo. Wewe ni shy person lakini ikizidi mno inakuwa tatizo, etc. Sasa ni vizuri sana kwamba unajitambua hivyo na uanze kujiachia kidogo kidogo. Ongeza kujichanganya na watu. Acha kuwaangalia watu mapungufu yao tu, focus pia kwenye mazuri yao. Tabia hubadilika na umri wa mtu na wewe pia utabadilika jinsi unavyokuwa, ila ongeza exposure au kujichanganya na watu. Jitahidi kuchukua nafasi za kuongoza watu au kuwatumikia watu kama kuongea mbele za watu au kushika nafasi yoyote ya kuwajibika katika jamii, kazini, darasani, etc. Tambua kuwa hakuna mtu mkamilifu na acha kuwa judgemental kwa watu. Jichanganye na watu penda kushirikiana na watu hata kama huhitaji chochote kutoka kwao.
 
°Una number 20 tu kwenye contacts zako we ni antisocial.
° acha punyeto.
° BTW Nani amzoee mkurya mnajulikana hamna akili fujo fujo tu.
 
Kiukwel na hisi ni anti social.
Punyeto Siijui kiukwel
Kwenye fujo baba yangu ni mkorofi kupindukia ila ni mtu wa story Sana, nalifahamu hili.
Ila mama ni mtulivu mno mkimya mno na mstaarabu Sana ila ukizingua anakuzingua.
Both mama na baba ni kurya's
 
Punyeto inahusiana vipi na kukosa marafiki?
 
Kiukwel na hisi ni anti social.
Punyeto Siijui kiukwel
Kwenye fujo baba yangu ni mkorofi kupindukia ila ni mtu wa story Sana, nalifahamu hili.
Ila mama ni mtulivu mno mkimya mno na mstaarabu Sana ila ukizingua anakuzingua.
Both mama na baba ni kurya's
Uliwahi kukumbana na kipindi chochote cha stress kwenye maisha?
 
Kwa sababu ya kuwa hivyo kwa mda mrefu nilikuwa nikiona Sina tatizo lolote na mtu akili haikuwahi kupata destruction yoyote hadi pale nilipoingia kwa uwanja wa mapenzi na kuandikia hii sms na msichana huyo " Forgive and forget miasaba hatuwezi kuwa wote tena nisamehe kwa kukupotezea Mda wako" ilikuwa zaidi ya bomu lililopigwa yerushima japani.
 
Kiuhalisia ni mtu muongeaji Sana Mimi mia saba. Ila ni mtu mkimya Sana na nikikuzoea hutoamini. Maana na jua kutengeneza story za kufurahisha nikiakikisha huboreki tukiwa pamoja.
Shida inakuja Huwa sidumu na mahusiano na mtu yoyote yule ya kiurafiki baada ya kujua ana vitabia flani flani kama kusema watu, mbinafsi, mchoyo mbaya zaidi nilijua unanisema na hivyo.
Imepelekea kuamini kuwa nikiwa pekeangu Mara nyingi ndio nikiona na kua katika mambo mengi nikitafakari zaidi na nikiingiliana na watu wengine.
Mda mwingine na choka kukaa na watu, imepelekea toka nimesajili laini 2013 hadi sasa haijawahi kuzidi watu 20 niliowasave kwa simu. Mara nyingi nikimfahamu mtu vizur nikaona anaviashilia vilevile nafuta kila kitu nilichonacho.
Nikiwa primary to secondary 7yr nilizoeana na watu 5 tu
Secondary hawazid 5
Advance hawazid 6
University ndipo nilijikuta naanza kujuta kufahamiana na watu, maana niliona katika kufamihana na watu najipoteza mwenyewe. Unafki mwingi mno Kiufupi.
Na pia Huwa nazoena na mtu Mara moja tu. Nikikuondoa kwenye akili yangu huto kaa turudiane hata iweje.
Sasa najiuliza hili nitatizo au nishikilie huo msimamo niliozaliwa nikajikuta hivyo.
Naomba mtazamo wako.
Kabila mkurya
jinsia male
Acheni ucenge nyi watoto!!
 
Uliwahi kukumbana na kipindi chochote cha stress kwenye maisha?
Kwa sababu ya kuwa hivyo kwa mda mrefu nilikuwa nikiona Sina tatizo lolote na mtu akili haikuwahi kupata destruction yoyote hadi pale nilipoingia kwa uwanja wa mapenzi na kuandikia hii sms na msichana huyo " Forgive and forget" ilikuwa zaidi ya bomu ya yerushima japani
 
Isije kuwa mental disorder
 
Back
Top Bottom