Recent content by mhugo hantish

  1. mhugo hantish

    JamiiForums Tanzania Parapanda Lutheran Choir: Upendo wa Mungu

    Naomba nikukaribishe kutazama wimbo kutoka kwaya ya Parapanda Lutheran uitwao Upendo wa Mungu. Yesu akutunze.
  2. mhugo hantish

    JamiiForums Tanzania Yesu Wewe video by Ev Mhugo Hantish

    https://youtu.be/3zTPNfF33N8?si=LiH0myy0xTcP1G2A Naomba nikukaribishe KUTAZAMA wimbo kutoka kwaya ya Parapanda Lutheran uitwao UPENDO WA MUNGU. Yesu akutunze. Usisahau kushare, kusubscribe, kulike na utuachie maoni Yako hapo sehemu ya comment.
  3. mhugo hantish

    JamiiForums Tanzania Natafuta dealer wa oryx gas Njombe

    Wakuu, habari? Naomba kama kuna mtu anamfahamu au ni mhusika wa uwakala wa Oryx gas anaisaidie. Nataka kufanya biashara ya uwakala wa gas mkoani Njombe, Ludewa.
  4. mhugo hantish

    JamiiForums Tanzania Lema: Mbunge wa CHADEMA anatarajia kuhama kati ya Jumatano na Ijumaa

    Nauliza tu. Hivi na mimi ninaweza kuacha kazi ya kufundisha chekechea na kuamua kuunga mkono juhudi?
  5. mhugo hantish

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anedhibiti wapinzani na vyombo vya habari mara nyingi huwa na element za wizi na ufisadi

    Hilo ni sahihi. Tutegemee kuliona mbele ya safari.
  6. mhugo hantish

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Aliyemtisha Nape kwa bastola sio Polisi. Uchunguzi wa Lissu kushambuliwa unaendelea, tutatoa taarifa

    [emoji3] alichukua nafasi ya kumwelekeza igp
  7. mhugo hantish

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujio clouds media Tanzania Mombasa county au vipi?

    Ipi
  8. mhugo hantish

    JamiiForums Tanzania Urais 2020: Tundu Lissu Vs Dr.John Magufuli

    Spend Lissu awe Rais ila napenda aendelee kuwa mshauri kuu tu. Au mwanasheria mkuu wa Serikali tu
  9. mhugo hantish

    JamiiForums Tanzania CCM wakimfukuza Nape, CHADEMA wamkaribishe awe Katibu Mwenezi

    Atatakiwa asisubiri kutunguliwa.
  10. mhugo hantish

    JamiiForums Tanzania Vigogo wa kisiasa wakutana Dar kuteta masuala mazito

    Yangu macho.
  11. mhugo hantish

    JamiiForums Tanzania Mambo 25+ Magufuli amewashangaza watanzania mpaka sasa

    Njoo niulize mimi kuhusu hiyo point yako namba 12 ipoje. Usisema bila ushahidi.
  12. mhugo hantish

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Aliyemtisha Nape kwa bastola sio Polisi. Uchunguzi wa Lissu kushambuliwa unaendelea, tutatoa taarifa

    Sijaona kama ameongea cha kuwasaidia wananchi. Zaidi naona anakwepa maswali. Au ni kwasababu siye tayari tuna majibu ya hisia?
  13. mhugo hantish

    JamiiForums Tanzania Yesu Wewe video by Ev Mhugo Hantish

    Tazama Video | Download Audio Music: Ev.Mhugo Hantish – Yesu Wewe http://gospomedia.com/tazama-video-download-audio-music-ev-mhugo-hantish-yesu-wewe/
  14. mhugo hantish

    JamiiForums Tanzania Video: YESU wewe na Ev Mhugo Hantish

    WIMBO: YESU WEWE Na Ev Mhugo Hantish (The sound of worship) Autro Mmmmh! X2 PREACHES "Ndugu yangu, jiulize wewe mwenzangu bila Yesu ungekuwa wapi leo hii. Bila shaka hujui, hata mimi sijui" VERSE 01 Ndege wa angani wanajua uweza wako. Nasi wa ardhini tunajua matendo yako, Hata viumbe vya...
Back
Top Bottom