Kiongozi anedhibiti wapinzani na vyombo vya habari mara nyingi huwa na element za wizi na ufisadi


S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
30,416
Likes
58,170
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
30,416 58,170 280
Ukiona kiongozi yoyote yule duniani katika Taifa lolote anatumia nguvu nyingi kudhibiti vyombo vya habari na wapinzani wake ujue mara nyingi anafanya hivyo ili kuficha maovu yake kama vile uminyaji wa haki za rai,utesaji wa raia pamoja na wizi na ufisadi.

Na pia kiongozi asietaka uwazi katika serikali yake mimi huwa sina imani nae kabisa maana ni lazima mtu ujiulize anaficha nini wakati yote anayoyafanya anayafanya kwa niaba yenu kupitia dhamana mliomkabidhi sasa iweje awafiche?

Mara nyingi viongozi wa aina hii duniani huwa wagumu kuachia madaraka na wakiamua kuachia madaraka basi huhakikisha wanarithiwa na vibaraka wao watakaolinda maovu yao pamoja na mali zao walizochuma kifisadi.

Mifano ya viongozi hawa ni kama Mobutu wa Zaire,Idd Amini Dada wa Uganda,Napoleon wa Ufaransa na wengineo wengi.

Kiongozi mwingine wa aina hii alikuwa ni Benito Mussolini aliekuwa kiongozi wa Italia ambae unaweza kumsoma kupitia hii link HAPA

Ukimsoma huyo utapata somo zuri sana na utagundua jambo muhimu sana maana mtawala huyu mwanzoni alifanyia kazi malalamiko ya wanachi na kujizolea sifa kibao lakin baadae ikawa kinyume chake.

Ogopeni sana viongozi wa aina hii maana watawaacha mlio wengi mkiwa masikini huku wao na washirika wao wa karibu wakijineemesha kwa kutumia jasho lenu.
 
habari ya hapa

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
12,285
Likes
7,458
Points
280
Age
31
habari ya hapa

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
12,285 7,458 280
Salary Slip hivi ulishawahi kutoa salary slip yako hadharan km ulivyo ahidi?
 
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
13,242
Likes
17,056
Points
280
Age
18
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
13,242 17,056 280
Kwani ulikuwa wapi mkuu kujua hilo? Check huyo jamaa SISONJE ndio utajua kuwa ulichoandika ni sawa.Swissme
 
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
6,922
Likes
8,679
Points
280
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
6,922 8,679 280
Mifano ya viongozi hawa ni kama kina Mobutu wa Zaire,Idd Amini Dada wa Uganda na wengineo wengi..
Umekuwa mwogamwoga sana siku hizi. Why, kwa ninii? Nasikia huko kwenu mzee mwenyewe ananegoshieti tender za kununua ndege, train za kutumia umeme usiokuwepo na ujenzi wa viwanja vya ndege.
 
Crimea

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Messages
5,233
Likes
3,980
Points
280
Age
29
Crimea

Crimea

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2014
5,233 3,980 280
Tutajie kiongizi ambae si mwizi hapa tz
 
mhugo hantish

mhugo hantish

Senior Member
Joined
Apr 21, 2015
Messages
134
Likes
25
Points
45
mhugo hantish

mhugo hantish

Senior Member
Joined Apr 21, 2015
134 25 45
Hilo ni sahihi. Tutegemee kuliona mbele ya safari.
 
P

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Messages
8,360
Likes
3,561
Points
280
Age
50
P

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2013
8,360 3,561 280
Sina shaka na hili, umenena vyema.
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
103,491
Likes
453,659
Points
280
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
103,491 453,659 280
Usijali ipo siku atahamia upande uliopo ili muwasunte wanaomtetea saiv wakihoji wizi na ufisadi wake
 
M

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Messages
1,847
Likes
791
Points
280
Age
33
M

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2013
1,847 791 280
Takwimu takwimu takwimu za uchumi
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
26,729
Likes
29,043
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
26,729 29,043 280
Tutajie kiongizi ambae si mwizi hapa tz
Naam umekuja vizuri sana. Kwa hiyo unataka kutuambia umekubali kuwa viongozi wote wa Tanzania ni wezi ndio maana unasaka asiye mwizi?

Swali zuri sana. Sasa tuwaache hawa viongozi wa vyama ambao hayo yao ni makundi ambayo yanapaswa kudhibitiwa na hao wanao wahusu. Twende kwenye serikali yetu sote.

Kama viongozi wote wa serikali ni wezi (according to your point) hiyo serikali haitufai kabisa bora tutafute nyingine kwa kutafuta hao wasio wezi kama ulivyo uliza.
 
K

Kuntakint

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
1,364
Likes
802
Points
280
K

Kuntakint

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
1,364 802 280
Ukiona kiongozi yoyote yule duniani katika Taifa lolote anatumia nguvu nyingi kudhibiti vyombo vya habari na wapinzani wake ujue mara nyingi anafanya hivyo ili kuficha maovu yake kama vile uminyaji wa haki za rai,utesaji wa raia pamoja na wizi na ufisadi.

Na pia kiongozi asietaka uwazi katika serikali yake mimi huwa sina imani nae kabisa maana ni lazima mtu ujiulize anaficha nini wakati yote anayoyafanya anayafanya kwa niaba yenu kupitia dhamana mliomkabidhi sasa iweje awafiche?

Mara nyingi viongozi wa aina hii duniani huwa wagumu kuachia madaraka na wakiamua kuachia madaraka basi huhakikisha wanarithiwa na vibaraka wao watakaolinda maovu yao pamoja na mali zao walizochuma kifisadi.

Mifano ya viongozi hawa ni kama Mobutu wa Zaire,Idd Amini Dada wa Uganda,Napoleon wa Ufaransa na wengineo wengi.

Kiongozi mwingine wa aina hii alikuwa ni Benito Mussolini aliekuwa kiongozi wa Italia ambae unaweza kumsoma kupitia hii link hapa chini:https://www.google.com/url?sa=t&sou...sATAf&usg=AOvVaw0SsywSLdfJ74I8XZoyYdIm&ampcf=

Ukimsoma huyo utapata somo zuri sana na utagundua jambo muhimu sana.

Ogopeni sana viongozi wa aina hii maana watawaacha mlio wengi mkiwa masikini huku wao na washirika wao wa karibu wakijineemesha kwa kutumia jasho lenu.
Wengine ni Mugabe wa Zimbabwe, Magufuli wa Tanzania, Kagame wa Rwanda, Nkuruzinza wa Burundi, Museveni wa Uganda, Kabila wa Congo na Bashite wa Dar es salaam
 
H

hakika utakufa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Messages
1,791
Likes
813
Points
280
Age
41
H

hakika utakufa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2016
1,791 813 280
Wala tusizunguke hata sisi tumo humo kwa kina mseven na hao wengine
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
25,528
Likes
16,422
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
25,528 16,422 280
lowassa alikuwa anadhibiti wapinzani?
 
Tindikali

Tindikali

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Messages
989
Likes
853
Points
180
Tindikali

Tindikali

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2010
989 853 180
255f0310a03c0946962283ec65697b8c--star-gaze-military-cap.jpg


Baba Jesca wa Zabanga Kuku Ngbendu
 
herzegovina

herzegovina

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Messages
1,490
Likes
1,756
Points
280
herzegovina

herzegovina

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2015
1,490 1,756 280
MTU anayefichaficha mambo, huyo ni mwizi tu....tena mwizi kwelikweli....

Tunadanganyana eti ana mshahara mdogo, kwani anategemea mshahara????
 
M

mwingereza2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2017
Messages
213
Likes
108
Points
60
M

mwingereza2

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2017
213 108 60
My God. What an analysis! Kwa hiyo tutawaliwe na mkoloni tena kama alivyosema Trump basi.
 
M

mwingereza2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2017
Messages
213
Likes
108
Points
60
M

mwingereza2

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2017
213 108 60
Nilishangaa kusikia nchi za SADC eti zinauliza wanajeshi wa Zimbabwe wafuate katiba inasema nini. Mbona hawakuuliza wakati Mugabe akivunja katiba.
 
W

wanaojulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Messages
577
Likes
852
Points
180
W

wanaojulikana

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2017
577 852 180
Ufisadi ukiyofanyika awamu hii haujawahi kutokea hapa Tanzania tena wa wazi mchana kweupe
 

Forum statistics

Threads 1,214,685
Members 462,829
Posts 28,519,806