Nataka kuingiza gari Tanzania kutoka Singapore.
Ni European Car lakini nikinunua Singapore gharama ni nafuu kidogo. Sales team wameniambia kuwa kule Singapore hawafanyi pre-shipment inspection.
Naomba kufahamu kama kutakuwa na usumbufu wowote likifika Tanzania, gharama za ukaguzi Tanzania...
wanaume wa kiluguru vifupi vina gubu haha kumbe wapo wenye sifa zote hizo?if you are having such a man,you should love him truly.you seem to be a nice woman,your man should be proud of you
very sweet love words,I wish ungekuwa baby wangu
Mkuu Lumumba uko deep sana,i like that.Wakristo/wakatoliki wengi hawajui historia ya ukristo/ukatoliki.Wamebaki na waliyokaririshwa tu sunday schools,halafu watakubishia pasi kujua kuwa hawajui wanachokibishia.Wanadhani Ukatoliki ulianza tu ghafla baada ya Yesu kumwita Petro ni mwamba!
Mkuu Augustine wa Hippo yeye alikuja baadaye sana,usimchanganye na kina Clement 1 .Pia unasahau mchango wa Paulo wa Tarso,mtu muhimu sana kwenye kueneza Ukristo kuwashinda hata kina Peter na James the just
Uko right mkuu.Jaribu kupanda basi/kusafiri kwa gari toka Bologna mpaka Roma,hiyo miundombinu unaeza dhani imeshushwa toka mbinguni kumbe ni kazi ya mwanadamu tu!
Nje ya mada mkuu.Shule tamu sana hii.Hakuna somo tamu kama Falsafa.Umenikumbusha mbali sana na hao wakina Kant and his deontological ethics,a priori,a posteriori..Utilitarianism wakina Jeremy Bentham,Mill greatest good for greatest namba..hiyo teleological school of thought nadhani ni wale wa...
We unaishi huko?Watajuaje kama mimi mgeni in the first place,lugha kireno au?kuna levels zake mkuu,ushaambiwa kati ya 10,8 wanakipiga;haiwezekani warembo wote wawe mateja huko
Ni hatari mkuu yaani kati ya wanawake 10,8wanafanywa kinyume na maumbile?,kifupi ni nadra sana kupata mwanamke asiyefumuliwa huko,inalillahi wa innailayhi rajiun!
Wacha nizikusanye niende mwenyewe nikathibitishe.Na hayo ma boflo huko HIV/AIDS rates zikoje?
majibu ya daktari utayajua tu hata kama hukusomea udaktari.Muwe mnakuja mara kwa mara wakuu kuondoa upotoshaji hapa.Majibu ya Zemarcopolo kwa mfano,yanaonyesha kabisa ni daktari na siyo mtu wa copy paste
Mkuu La Cosa Mia,nashukuru.Huyu binti pia amepata nafasi ya kufanya internship Ulaya.Lakini baadaye lengo lake ni kurudi Tanzania.
Hizo nchi ambazo akifanya intern hawezi kurudia tena Tanzania,ni za Afrika au hata nje ya Afrika?Unaweza kuzitaja?Lakini kama ulivyosema,hata akirudia tena intern...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.