Recent content by Mhonzuyadilu

  1. M

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    sijawahi kuona kiongozi aliyepata kuheshimiwa inchi hii baada ya Nyerere kama mkapa. Lakini leo huyu bwana atukana live katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni kwa kuwaita Wapinzani wote kuwa Wapumbavu,kauli hii unaisemeaje kama mudau wa inchi hii na mpiga kura.
  2. M

    Mdahalo mdahalo Wagombea Urais

    Wanajamvi kama ambavyo CCM wametuonesha karata yako ni Kamanda Magufuli mi binafisi sijawahi kumusikiliza huyu bwana akimwaga mikakati yake ya uongozi wake kama mbunge.leo kapewa rungu basi kabla ya kura hapo october aje kwenye media na wapinzani wake wakuu tupate kuchambua ukweli na ubabaishaji...
  3. M

    Kigogo mbaroni Mwanza mauaji ya albino

    Unataka kujua nini kasome gazeti lenu la kipumbavu uhuru ndo ujue unachotaka
  4. M

    Kigogo mbaroni Mwanza mauaji ya albino

    Ccm ni wapumbavu sana wamemukamata mwenyekiti wa wilaya wa chadema wilaya mr Makanyaga. Wanajaribu kutisha watu na viongozi wetu ni mchezo uleule uliofanywa kwa lwakatale mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CDM. Na sasa hivi anayeucheza mchezo huu ni mkuu wa mkoa
  5. M

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa, January 30

    Eti serikali imeanza kulipa watumishi wake moja kwa moja kwenye account zao kuanzia mwaka jana mwezi wa saba yaani July 2014. Mwigulu nchemba huyu. Huyi jamaa kumbe mweupe kweli au ndo desturi ya viongozi wetu.Mibinafisi nimelipwa direct kwenye account yangu kuanzia mwaka july 2008 hadi sasa...
  6. M

    Ukichukua bank statement CRDB unakatwa tsh 11,000/=

    Mhamie FINCA kila transaction bureeee yaani fika na finca baba
  7. M

    TAARIFA KWA UMMA; Motisha kwa yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa mtorosha MADINI Nje ya Nchi

    Kiongozi punguza hasira kidogo ni kweli hawa jamaa wanaudhi ila twende nao taratibu
  8. M

    Cleopa Msuya: Potelea mbali huyu fisadi anayedaiwa kugawa pesa ili apate URAIS lazima afukuzwe

    Mzee musuya kufukuza tena naona mumechelewa na hatari ninayoina munazidi kulisogelea shimo kabla hamjatumbukia humo.jiangalieni vizuri Ila huyu mtu CDM hatutaki hata kumusikia Lowaza wenu
  9. M

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Kama atakuwa rais wa mke wako hapo sawa.
  10. M

    MwanaCCM aonekana juu ya jukwaa la CHADEMA

    Jamani hii habari ni yakweli na ni mAjabu ya kufunga mwaka mwanachama wa CCM na magamba yake kuhutubiA mkutano wa dokta. Hebu mulokuwepo tusaidieni tujue kama pengine jamaa kajisahau tu kubadili magamba yake kama ameshahamia UKAWA.
  11. M

    Hongereni wapinzani

    Hayo ndo maneno ya siku bwana.
  12. M

    MAGU Wakubali niwe diwani na mwenyekiti wa halmashauri kupitia CHADEMA-UKAWA

    Huyu pamba ndo umeona anafaa kwa magu? Hatutaki uzawa tunataka mchapa kazi Pamba kaangusha kata ya sinza mjini kabisa kaendekeza kurusha sura yake tu kwenye Facebook mara anachinja mbuzi mara yuko ujerumani. Hatutaki matangazo hayo hapa saahivi ni kazi tu.
  13. M

    Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

    Marire umenifurahisha kwa leo siku naiona tamu kweli Kikwete hoyee hoyeeeeeeee Escrow safi safiiiiiiii Ccm je maisha magumu kwa kila mtanzania
  14. M

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    wanajamvi kama kawa habari ya mjini ni ukawa inchi nzima matokeo kutoka mji mdogo na baadhi ya vijiji Wilaya ya Magu mitaa ya magu mjini CDM 10 CCM 6 vijijini sasa nyasato CDM kabila CCM Jinjimili CDM kabale CDM kayenze cuf igombe CDM mahaha UDP shishani CDM mwabulenga CDM Lumeji...
Back
Top Bottom