Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 813
Nilishangazwa na hii kitu majuz nilipoenda kuchukua Bank Statement ya A/C yangu then nikaambiwa unalipia 11,000/=
!! Nikajiuliza ni ile ya karatasi,wino wa printer na pen za kusain au mengine
!????
Watumiaji wa NMB, EXIM na nyinginezo nanyi mukatatwa viwango hv? Na nani anazisimamia haya mashirika ili yasiwanyonye wateja wao ???
Watumiaji wa NMB, EXIM na nyinginezo nanyi mukatatwa viwango hv? Na nani anazisimamia haya mashirika ili yasiwanyonye wateja wao ???