Wakusoma nenda shule kwanza na urudi hapa.
Ume generalized tu IT then unatokwa na povu .
Unapawa ujue nini maana ya IT halafu ,
Ufahamu field ya IT imegawanyika katika categories gani, halafu katika categories kuna field ngapi,halafu katika field hizo mtu amesomea IT lakini ame base kwenye...
Shida ya baadhi ya kijapan ni t3chnical fault wakati wa dharura kama kupasuka tairi .
Mfano .noah,harrier,Rav 4 na baadhi mengine kupasuka kwa tairi juu ya spidi 80 usipokuwa makini limeenda ,tofauti na BMW,Benz,Volkswagen na Audi
Yaani kama mimi kuanzia uncle yangu mpaka bro ni Volkswagen. Golf touran .
Na Audi A4 Variant
Na sijaona shida .na mimi ninampango wa kuwa na Volkswagen touran .maana Toyota imeshakuwa kama soya sokoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.