LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,449
Ni kweli Kuna mtu alikuaga ameua VW Touareg yake sbb ya mafundi wa kibongo, alikua anapeleka CFAO ikawaje sjui akapeleka local garage weee...kurudisha CFAO bei aliotajiwa anaona bora anunue gari mpya tu.,Mimi kama muuzaji magari, nimeshakutana sana na changamoto za wateja kuniomba ushauri. Wanatamani sana kuwa nje ya toyota lakini kancho watatiza ni mafundi.
Jibu langu huwaga ni moja
Unapaswa kuhakikisha kwamba, muda wa service unalipeleka moja kwa moja kwenye kampuni husika kwa service ya uhakika zaidi.
Yaani kama ni nissan au vw, basi service unapeleka tu cfao.
Hapo utafaidi.
Ila ukisema upeleke uchochoroni, itakua ni hasara.