Kabla ya uhuru Kilimanjaro ina vyama vingi bila visasi

Nyie wachaga wabaguzi mna roho mbaya na ubinafsi wa kiwango cha kutisha. Sisi tumebomolewa nyumba zetu za tangia kipindi cha Kambarage kupisha reli hatukuwaona mkiongea ila huyo mwizi fisadi mchicha wake kung'olewa kwenu ni msiba kabisa. Ndio maana ni saw a Magu aendelee kuwanyoosha anaziba mianya yenu yote ya wizi na utapeli tuone janja yenu sasa.

Kama mnatutambishia vyama ata sisi tulikuwa navyo vingi tokea AA mpaka TANU .
we kweli ni mwanamke wa kiume
 
Nyerere alitaifisha mali za wahindi. Magu anabomoa za wapinzani. Kila zama na kitabu chake

awafundishe kwanza ccm kubuni miradi ya kuwapatia watanzania ajira ndo abomoe ya upinzan!

Kama unabisha nitajie mbunge hata mmoja wa ccm aliyeanzisha mradi jimboni kwake na kuwezesha ajira kwa raia?
 
Hao ambao hata jimboni hawana makazi wanafikia guest kwenye miji midogo ,wakiishi maisha ya raha mjini ,ba kuponda pesa lazima waumie wakiona watu wanawekeza ili kuajiri wananchi wao wa.vijijini.
Kuna watu maisha ya kufuru wanayoishi mijini na walikotoka ni kama usiku na mchana kiasi hadi wakiugua au wakifikia mwisho wa.uhai huwa aibu kuwarudisha kwenye familia zao vijijini kwa kuwa hawafanani...kwanini watu kama hao povu lisiwatoke?
 
Nyie wachaga wabaguzi mna roho mbaya na ubinafsi wa kiwango cha kutisha. Sisi tumebomolewa nyumba zetu za tangia kipindi cha Kambarage kupisha reli hatukuwaona mkiongea ila huyo mwizi fisadi mchicha wake kung'olewa kwenu ni msiba kabisa. Ndio maana ni saw a Magu aendelee kuwanyoosha anaziba mianya yenu yote ya wizi na utapeli tuone janja yenu sasa.

Kama mnatutambishia vyama ata sisi tulikuwa navyo vingi tokea AA mpaka TANU .
Bila Shaka utakuwa Daudi wewe
 
awafundishe kwanza ccm kubuni miradi ya kuwapatia watanzania ajira ndo abomoe ya upinzan!

Kama unabisha nitajie mbunge hata mmoja wa ccm aliyeanzisha mradi jimboni kwake na kuwezesha ajira kwa raia?
Mharibifu hana ajualo zaidi ya kuharibu.
 
Nyie wachaga wabaguzi mna roho mbaya na ubinafsi wa kiwango cha kutisha. Sisi tumebomolewa nyumba zetu za tangia kipindi cha Kambarage kupisha reli hatukuwaona mkiongea ila huyo mwizi fisadi mchicha wake kung'olewa kwenu ni msiba kabisa. Ndio maana ni saw a Magu aendelee kuwanyoosha anaziba mianya yenu yote ya wizi na utapeli tuone janja yenu sasa.

Kama mnatutambishia vyama ata sisi tulikuwa navyo vingi tokea AA mpaka TANU .
Dumb head boy
 
Hao ambao hata jimboni hawana makazi wanafikia guest kwenye miji midogo ,wakiishi maisha ya raha mjini ,ba kuponda pesa lazima waumie wakiona watu wanawekeza ili kuajiri wananchi wao wa.vijijini.
Kuna watu maisha ya kufuru wanayoishi mijini na walikotoka ni kama usiku na mchana kiasi hadi wakiugua au wakifikia mwisho wa.uhai huwa aibu kuwarudisha kwenye familia zao vijijini kwa kuwa hawafanani...kwanini watu kama hao povu lisiwatoke?
Wengine wameponzwa na kupenda wanawake wa kichaga. Warioba alipoteuliwa kuwa PM hakuwa na nyumba huko kwao Nyamuswa japo ilisemwa kajenga uchagani. Serikali kufunika aibu ikabidi ifanyie ukarabati nyumba ya kaka yake walau apate pa kufikia akienda huko.

Mkapa hali kadhalika. Hakuwa na makazi huko kwao ya hadhi ya waziri wa serikali kabla ya urais.

Wanawake wa kipalestina hatari sana.
 
Watu wanapenda kuongea yasiyokuwapo ...hivi wacha na pride yao ya mila waje kusubiri nyumba ya kujengewa na shemeji...kijijini
Nyumbani kwa Mzee Maro ,baba yake Mama Mkapa napafahamu ..huyu ni mzee aliyekuwa na uwezo wa kifedha hata kabla ya mwanaye kuolewa ,alikuwa na nyumba zake na moja wapo watoto wake wakija wanafikia ikiwemo Mkapa baada ya kuwa Rais Ikulu haiko mbali na hapo..kijijini akawa anakaaa jioni analala
Huyu mzee hata akija dar alikuwa hafikii kwa Mkapa upanga au ikulu bali kwa mwanaye wa..kiume
Kuna baadhi ya..makabila kuna values mfano..unadharaulika sana ukifikia kwa mkweo,kwa shemeji...etc

Isitoshe ukiondoa mtu kama Mark Bomani, hao kina mkapa,warioba ,sumaye, etc walioa wakati wakiwa vijana ambao haikujulikana kama..watakuwa na.cheo kikuu so ni bahati tu za maisha ,mkapa alikuwa simply mwandishi wa habari,warioba alikuwa mwanasheria wa serikali wa kawaida,sumaye alikuwa Agro engineer pale tengeru ,etc
So kuna tofauti kubwa ya mwanamke...kuolewa wakati pesa au mamlaka yameingia na ambaye kaolewa wakiwa chini alafu siku wanainuliwa unasema kwanini yeye,sana..sana Mngewapongeza kwa kuwatia moyo wenza wao na kuwaombea wabahatike kupata baraka
 
..huyu ni mzee aliyekuwa na uwezo wa kifedha hata kabla ya mwanaye kuolewa ,alikuwa na nyumba zake na moja wapo watoto wake wakija wanafikia ikiwemo Mkapa...

sumaye alikuwa Agro engineer pale tengeru
Exactly what I wanted to say. Kuna wazee hata ungemfunga kwa kamba aende kusalimu nduguze kwao ungegombana naye. Likizo na mapumziko yote huko ukweni. Walichoshindwa ni kubadili kabila zao tu ili nao wawe wachaga.

Kumbe sumaye alikuwa mhandisi?! Siku zote nikijua alikuwa fundi mchundo tu!
 
Kuna,..kitu kimoja kinafanya waliofanikiwa sehemu zingine kutokwenda kwaoooo.....hata wakifa....
Ni UCHOYO wa kushiriki mafanikio yake kuinua wenzake, au kuhisi watamloga...
Lakini kumbe angesaidia kusaidia kwa elimu au vyovyote nao wangesaidia wenzaooo hadi kiwango ambacho unarudi nyumbani familia nzima inajitegemea
 
Back
Top Bottom