Unajua mbowe hawakufikiri mbele kuna nn CCM wanaakili kuliko wao walimdhalilisha sana lowasa tena sana lkn mungu akawaonyesha kuwa huyo atakuja hukohuko na mtampamba lkn watanzania washawajua kuwa wako kipesa zaidi .... Tundu lisu hakulitambua hilo yeye alikuwa serious lkn wapigaji...
Mara nyingi huwa upelelezi Wa kijeshi lazima ujuwe mapwork .... Halafu usiseme muongo ... Askari wengi shule hakuna mm si nawaona na nafanya nao kazi kaka
Askari wengi elimu ndogo sana ... Nimezaliwa kwenye familia ya majeshi ..sio askari yaan majeshi yote wanaume wanaoa magolikipa kwasababu zifuatazo 1:Wanawapa Amri,2:Mawazo yao hayafikirii kesho ,,,,.... 3:umri wanaoingia ni ule Wa stage ya pili ya kubalehe,,,kwahiyo huwa wanakurupuka sana kuoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.