Recent content by MHeshimiwav3

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Baba Mzazi aliponiambia hili neno amemaanisha nini Kwangu?

    Samahani neno PM lina maana gani ?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu ndugu zangu kabla ya maamuzi!

    Sio mzima wewe ni wa kupimwa mkojo!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipiga makofi kila ninapochelewa kurudi nyumbani, nifanyaje jamani nimechoka!

    Wacha upigwe tu maana hakuna namna
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jerusalem ni mji Mtakatifu?

    Wayahudi ndio hao hao Waisraeli
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dude la maajabu

    kichwa cha habari hakiendani na habari yenyewe, dude la maajabu na simu ya mkononi wapi na wapi ?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi kichwa kupasuka kwa mawazo

    Tafuta pesa kwanza ukishapata shughuli ya kukuingizia kipato tafuta makazi yako halafu mchakato wa kuoa ufwate lakini kuishi ukweni a big NO !
  7. M

    JamiiForums Tanzania Unawezaje endelea na mwanamke anayekuongelea vibaya

    Hakufai huyo atakaa wewe lakini atazaa na mwanaume handsome
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msichana kanifananisha, nimwambie au nisimwambie?

    Nakushauri usiende, mkutane sehemu nyingine sio kwake maana yanaweza kukukuta ya kukukuta.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ibadilishwe jina

    MZIZIMA
  10. M

    JamiiForums Tanzania Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

    TUMSIFU YESU KRISTU, Milele amina !
Back
Top Bottom