chafu pozi
Member
- Oct 9, 2017
- 66
- 58
- Thread starter
- #21
Asante sana kwa ushaur mzurKama kwel unampenda na anakupenda bac mtasikilizan na kuaminiana..pata kazi,shusha mjengo, weka mke...Ukweni sio mahala sanifu pa kuanzia maisha ya hustling..
Asante sana kwa ushaur mzurKama kwel unampenda na anakupenda bac mtasikilizan na kuaminiana..pata kazi,shusha mjengo, weka mke...Ukweni sio mahala sanifu pa kuanzia maisha ya hustling..
DuhMama atamtafutia mwingine na wewe utapigwa chini
We subiri Mara ooh vyuma
Oa mkuu kheri ataleta Mungu
HahahahahaHamia mkuu, ukikaa wiki kashtaki kwa mwenyekiti au polisi waambie wakwe wamekuja kwako hawatak kuondoka.
Sawa mkuu nashukuru kwa ushaurOa mkuu kheri ataleta Mungu
Endelea maisha na yeye na riziki anatoa Mungu wala usisite
Usijifinye msafi sana zwazwaUlivyoligema utalinywa.Kijitu uko chuo badala ya kujikita kwenye masomo unaruka ruka na kidude chako cha katikati ya mapaja kama chura.Utajijua
Nitafute nikusaidie ushauri japo kidogoHabari zenu wakuu,nimekuwa na mahusiano na binti mmoja huu ni mwaka wa nne na niwe mkweli tunapendana sana na uyu binti maana mapenzi ameyajulia kwangu kwani mimi ndiye niliye mtoa bikra,tangu mwezi wa nne mwaka huu huyu binti anataka mimi nipereke barua kwao kwa ajili ya uchumba rasmi,lakini kwa kipindi hiko chote anachotaka nipeleke barua kwao mimi nilokuwa bado sijamaliza chuo kikuu ila ndo nikiwa katika mwaka wangu wa tatu wa masomo yangu.
Baada ya kumaliza mwezi wa saba mama yake alinita na kuniambia nimuoe binti yake kwani nitakaa kwao maana wana nyumba kubwa tu,mimi nikapinga kwa hilo na kuwaambia wanisubiri kidogo nitafute kazi maana mimi siwezi kukaa ukweni lakini hali bado inazidi mpenzi wangu anazidi kudai tu na anasema nipeleke japo barua.kiukweli nampenda sana huyu manzi maana ana sifa zote nazotaka kuanzia uzuri mpaka tabia,ila tatizo bado sijapata kazi na vyuma vimenikazia kwelikweli.
Jamani waungwana naombeni ushauri wenu nifanye nini kwenye situation kama hiyo?
Nashukuru sana mkuuNitafute nikusaidie ushauri japo kidogo
PoaNashukuru sana mkuu
Asante sana kwa ushauri mzuriUshauri wangu kwako: Peleka barua kama anavyotaka yeye ili hali ipate kutulia, stara ya mwanamke yeyote ni ndoa, na kama ukipeleka barua basi naamini roho yake itamtulia kwa kujua kuwa huko mnakoelekea utamuoa hata kama ni miaka kumi, ukizembea kwa hilo atatokezea mwenzako na kupeleka barua then kitakachofatia binti ataolewa na kukuacha umeng'aa sharubu.
Tjen wanawake wengine ni chachu ya maendeleo kwetu sisi wanaume, sijui kama unalijua hilo.
...Follow excellence...Success will chase pants down!
Mjanja pia hakai kwa mama yake mzazi huku anataka kuoa.Mleta mada ujahili wote aliufanya wakati ni kula kulala kwa mama yake mzazi.Kwa hiyo kama mama mkwe anataka akale kulala kwake aende tu sababu ana uzoefu wa kula kulala kwa mamaake mzazi na kuendekeza ufuska aende tu kwa huyo mama mkwe.Kwani atatoka mikono huu wa mwanamke huyu kwenda kwa yule.Mleta mada aende tu kwa mama mkwe kama alivyozoea kula vya mama yake ahamie kwa huyo mama mwingine akaendelee kula kulalamjanja hakai kwa wakwe
Mkuu nilikuwa bado nipo chuo ningekaa wap sasa?ndo nimemaliza mwezi wa saba ata graduu sijafanya apa nilipoMjanja pia hakai kwa mama yake mzazi huku anataka kuoa.Mleta mada ujahili wote aliufanya wakati ni kula kulala kwa mama yake mzazi.Kwa hiyo kama mama mkwe anataka akale kulala kwake aende tu sababu ana uzoefu wa kula kulala kwa mamaake mzazi na kuendekeza ufuska aende tu kwa huyo mama mkwe.Kwani atatoka mikono huu wa mwanamke huyu kwenda kwa yule.Mleta mada aende tu kwa mama mkwe kama alivyozoea kula vya mama yake ahamie kwa huyo mama mwingine akaendelee kula kulala