Recent content by mheshimiwamtemi

  1. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Wimbo: Mbuga za wanyama

    Wanafunzi wa kizazi hiki wanakosa mambo muhimu hususani kujifunza kuhusu uzalendo na utaifa wao. Miaka ya 90 kulikuwa na nyimbo nyingi ambazo wanafunzi waliimba shuleni. Mnakumbuka wimbo huu? Mbuga za wanyama Tanzania, ya Kwanza ni Serengeti, Ngorongoro na Manyara na Mikumi oooh Tanzania...
  2. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Watanzania ya kuzaa hovyo ndiyo chanzo cha umaskini. Bodaboda ana watoto sita! Hata Serikali inashindwa kupanga mipango

    Watoto ni baraka, ukitaka kujua hili ao halafu ukose mtoto miaka 5
  3. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nini maana ya huu mchoro wa Kipanya wenye bendera ya CHADEMA?

    Chadema haijapasuka, imepasuliwa
  4. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Mnyama huyu ana sifa zipi anuwai?

  5. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaweza kuvunja Baraza la Mawaziri

    Rais akitaka kuvunja baraza la mawaziri anaitisha mkutano? 😂😂😂😂😂😂😂
  6. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaweza kuvunja Baraza la Mawaziri

    Hawezi kuvunja baraza
  7. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

    Nipo London wiki ya pili sasa, nitumie address yako tuonane
  8. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka

    Tusubiri majibu ya uchunguzi
  9. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Tumejiandaaje na majanga ya dharura?

    Ni aibu sana kwa Taifa letu
  10. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Precision yazimika injini ikiwa angani

    Leo imepata ajali 😭😭😭😭😭😭
  11. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Kama Taifa tuendelee kujifunza kuandaa mazingira bora ya kukabiliana na majanga. Hii ajali kwa mataifa yaliyoendelea wangeokolewa abiria wote ila kwetu, Mungu asimamie.
  12. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

    Una certify copy au original
  13. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maswali yangu kwa "wanautamu!"

    Hahahahaà papuchi tamu weweeeee
  14. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Japokuwa kukaa kimya ni jibu, Serikali inatakiwa ijibu hizi tuhuma

    Serikali ni chombo chenye mamlaka nyingi inakuwa Kazi kujibu ndio au hapana.
  15. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Wadau bwana 😂 eti amekata moto,, mwacheni avute pumzi aje kuchafua kusini na kaskazini kisha amalize pwani
Back
Top Bottom