This guy thinks outside the box, uwezo wa hali ya juu ambao wana CCM wengi hawana, kama angalikuwa rais kipind kile cha Dr Salmin Amoor,yumkini mauaji yale ya January 27 yasingalitokea, hawa uamsho mnaowapigia kelele sasa hivi ipo siku mtawatafuta mkae nao meza moja kwa mazungumzo kama vile...
Mmh! kama sera ni kuisambaratisha chadema wapi maendeleo kwa watanzania, vita ya tembo ziumiazo ni nyasi, resources nyingi zikiwamo kodi za walala hoi zinatumika kuchafuana kisiasa badala ya kuanzisha miradi ya maendeleo ili kuwakwamua watanzania kwenye ukosefu wa ajira na umaskini.
Mwarobaini...
Hajasoma O LEVEL miaka miwili...kuanzia 1988 mpaka 1991 ni miaka mi 4, ila amesoma shule mbili tofauti...kwa maana form 1 na 2 shule moja then akahama na kumalizia form 3 na 4 shule nyingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.