Recent content by Mhenga2

  1. Mhenga2

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa: Rais, CAG na Mawaziri watofautiana takwimu. Ukweli ni upi?

    Hakuna ujanja ujanja kwenye namba tusidanganyane hapa tuambieni ukweli acheni uongo njia ya muongo ni fupi sana
  2. Mhenga2

    JamiiForums Tanzania Najua kuna nitakaowaumiza ila sijaumbwa na Unafiki huyu Dada anastahili kuthaminiwa na Taifa

    Hahahah jombaa upo vizuri sana ila mimi nitoe surpot tu kwako kwamba kama kuna mtu yeyote anapanga kumuondoa duniani kwa kusema eti siku zake zinahesabika hawezi kumuondoa labda yeye ndio atakua wa kwanza kamtishie mtoto kwamba nyau anakuja ili akimbie lakini sio mtu mzima na akili zilizojaa
  3. Mhenga2

    JamiiForums Tanzania Sioni dalili nzuri kwa hatima ya baadaye ya Tanzania kwa staili ya uongozi ya awamu ya tano

    Kwa ninyi mnaotoa coments zenu mara mnasema non sense mara utafanya nini hembu jiangalieni mara mbili yule mwananchi asiye na hatia alipigwa na nani kama sio police je tukiendelea kupiga kimya na kusema hayo maneno non sense mara utafanya nini inamaana wewe sio mtanzania? Je hujaguswa na...
  4. Mhenga2

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru afariki dunia! Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Leo alfajiri mzee wetu Mr Kingunge ameaga dunia. Tanzania kwa pamoja tuungane kuiombea familia yake kiukweli ni msiba wa kitaifa kwa Tanzania nzima
  5. Mhenga2

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru afariki dunia! Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    R.I.P BOSS mbele yako nyuma yetu
  6. Mhenga2

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Hawa ni watu ambao hawaeleweki kama unga wa ngano yaaani wana mambo ambayo ni ya kishamba sanaaa
  7. Mhenga2

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Now a days haki za raia hazifuatwi kivile au ni kama zinaelekea kufutwa. Haki hizo ni pamoja na:uhuru wa kuongea,uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa mikutano ya hadhara. Sasa je tunakoelekea ni wapi kama hatutasema mabaya yanayofanywa na serikali? Je nini maana ya...
  8. Mhenga2

    JamiiForums Tanzania Lissu: Natafakari urais 2020

    Wewe ndio akili zako zipo nyuma sana aliyekuambia mtu akitaka kugombea ananyimwa ridhaa na chama chake ni nani je wewe ndiye msemaji wa chama chake?,je usaliti aliouonyesha ni upi au hnataka tu kuleta mambo yako ya kusema watu ni wachochezi kwaajili tu ya kumsema rais kwamba kuna mambo...
  9. Mhenga2

    JamiiForums Tanzania Nimemtafuna mwanamke wa bosi, bosi amejua na ameniambia tukutane ofisini Jumatatu! Maombi yenu tafadhali

    Safi sana brother kweli upo vizuri kwenye kufunga magoli hongera na huyo mliyecheza naye hongera yake ila ukifukuzwa kazi njoo nikufundishe kwamba unatakiwa ukae muda gani kazini ili uwafahamu kwanza madem wa hapo ndio uanze mchezo wako ili yakikutokea ndio ujue kwamba unatakiwa kufanya nini
  10. Mhenga2

    JamiiForums Tanzania Hivi nani ni kichaa zaidi?

    Kichaa zaidi utakua wewe uliyepanga kikosi kwenda kumkamata kichaa[emoji41]
  11. Mhenga2

    JamiiForums Tanzania CCM wamemtelekeza Wastara, ameoza miguu

    Pole kwake ila na nyie jufunzeni kutoka kwake msirudie makosa
  12. Mhenga2

    JamiiForums Tanzania ITV kuweni makini, kutoa habari za upande mmoja kutawapotezea heshima na hadhi yenu

    Hapo kinachofanyika ni kwamba watu wanaangalia ugali wao tu kwasababu walishatishiwa kwamba tukisikia habari negative tu kuhusu serikali tunakufungia. Mimi naangaliaga tu mieleka siku hizi habari nyingine nazipataga humu jf
  13. Mhenga2

    JamiiForums Tanzania Kuhojiwa kwa Askofu Severine Niwemugizi: Mtikisiko wa Kanisa na Utawala wa Magufuli

    Guys huu utamaduni wa maaskofu kuongelea mambo ya siasa ni kawaida toka enzi za nyerere na walikua wakikaa karamuni wote na kuzungumza pamoja leo hii askofu kukumbushia katiba mpya mnaongèea kwani vipi mara muanze kumsingizia mkimbizi mkimbizi mbona wasio na elimu kama bashite hamuwazungumzii au...
  14. Mhenga2

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Magufuli kusitisha Bomoa Bomoa kwa kuongeza kigezo cha "Human Face". He's so Human!

    Huuy ni ubaguzi mtupu kwann asitishe ubomoaji sasahivu? Kwann au kwasababu kule kwao ndio waliomchagua? Je ni rais wa mwanza tu? Mbona kimara mbezi ipo karibu kabisa na ikulu lakini kabomoa? Je,ni kipi hasa kilichomsukuma na jusitisha ubaguzi huo
Back
Top Bottom