Recent content by Mhenga Gilona

  1. Mhenga Gilona

    JamiiForums Tanzania Nauza samsung tablet

    Kama hutaki kununua siyo lazima weee vipi bhana
  2. Mhenga Gilona

    JamiiForums Tanzania Nauza samsung tablet

    Nipo Mbezi ya kimara
  3. Mhenga Gilona

    JamiiForums Tanzania Nauza samsung tablet

    Habari ndugu zangu,ninauza simu yangu haina tatizo lolote nimekwama tu baadhi ya mambo ndiyo nataka niuze. Ipo katika hali nzuri Bei; Laki tatu (300,000) Mawasiliano ; 0624-052791 Nilipo ; Dar
  4. Mhenga Gilona

    JamiiForums Tanzania Unayotakiwa kuyajua kuhusu battery, chaja za simu na tablet

    Jamani nina tablet yangu nauza
  5. Mhenga Gilona

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume unaanzaje kuandika "jomoni"..!??

    Jomoniiii
  6. Mhenga Gilona

    JamiiForums Tanzania Waziri Angelah Kairuki amezindua bodi mpya ya Sekretarieti ya ajira

    Aaaah ndefu inachosha kusikiliza
  7. Mhenga Gilona

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimegundua wanaoharibu elimu ya Tanzania

    Mchezo huo ukoje kaka ? Sent from my GT-P5100 using JamiiForums mobile app
  8. Mhenga Gilona

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

    Mikufu,pete,hereni,kucha za bandia na mawigi wanayopendelea kuvaa ndiyo naamini ni chanzo maana wigi hajui limetoka wapi anavaa lingine labda la jini maimuna,kucha za bandia wanasema zimetengenezwa ni plastic wanabandika wakati haijulikani kama ni kweli, mikufu na pete inaaminiwa na wengi kuwa...
  9. Mhenga Gilona

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni

    Usisahau alisema yeye atakamatwa akiamua
  10. Mhenga Gilona

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimegundua wanaoharibu elimu ya Tanzania

    Na hii ndiyo sababu kubwa kabisa.
  11. Mhenga Gilona

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimegundua wanaoharibu elimu ya Tanzania

    Tatizo ni mfumo wetu wa serikali unampa mamlaka waziri husika kufanya kile ayakachoona sahihi kwake hakuna muongozo maalum
  12. Mhenga Gilona

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimegundua wanaoharibu elimu ya Tanzania

    Ni kweli lakini kwa hali hii ya kuwa vigeugeu serikali itafanya wanafunzi kutojiamini na kufanya ambayo siyo kwa mujibu wa maelezo yanayotolewa. Mfano waliofuata maelezo hawakutuma lakini sasa wanaonekana wao ndiyo wazembe na waliotuma mwanzo ndiyo werevu.
  13. Mhenga Gilona

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimegundua wanaoharibu elimu ya Tanzania

    Habari wana-JF Ni kwa muda mrefu tumesikia lawama za juu ya elimu ya Tanzania kutokuwa na viwango na ni mbovu,na mara nyingi lawama zote zimeelekezwa kwa walimu maana wao ndiyo wako karibu na watoto. Mfano mwanafunzi akishindwa kufanya kitendo fulani kwa usahihi kulingana na maelezo husemwa kuwa...
  14. Mhenga Gilona

    JamiiForums Tanzania Magari ya polisi aliyokarabati Makonda yanazidi kumpa kiki

    Kuzuia uhalifu au kuzuia watu kupata haki zao pale wanapotafuta ?
  15. Mhenga Gilona

    JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye jicho

    Sawa nashukuru nitafanya hivyo
Back
Top Bottom