Zitto: Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni

View attachment 592437

Ameandika haya dakika chache zilizopita katika mtandao wa Facebook.

"
Maneno ya Zitto:

Tumekabidhi nchi Kwa washamba na malimbukeni wa madaraka. Mihimili karibu yote ya dola letu inaongozwa na malimbukeni. ' wajanja ' wanalamba miguu ya washamba ili kuishi tu. Werevu wananyamazishwa, wanaitwa si Wazalendo. Wanapangiwa mauaji. Nchi imewashinda. Anguko kubwa la uchumi laja sababu ya maamuzi ya kishamba na kukosa maarifa. Hata hivyo watabaki werevu kadhaa na watarejesha nchi yetu kwenye mstari."

Aisee watu wamekasirika sana. Sijui kinachofata ni nini
Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji
 
ZITTO ATAFUTIWE ULINZI BINAFSI...I REPEAT,ZITTO AWEKEWE ULINZI.La sivyo we both know the outcome.
Kaagana na nyonga huyo... Hata panya hawatasalia kwenye ukoo wao

Zitto ana biti za kichawi sana
 
View attachment 592437

Ameandika haya dakika chache zilizopita katika mtandao wa Facebook.

"
Maneno ya Zitto:

Tumekabidhi nchi Kwa washamba na malimbukeni wa madaraka. Mihimili karibu yote ya dola letu inaongozwa na malimbukeni. ' wajanja ' wanalamba miguu ya washamba ili kuishi tu. Werevu wananyamazishwa, wanaitwa si Wazalendo. Wanapangiwa mauaji. Nchi imewashinda. Anguko kubwa la uchumi laja sababu ya maamuzi ya kishamba na kukosa maarifa. Hata hivyo watabaki werevu kadhaa na watarejesha nchi yetu kwenye mstari."

Aisee watu wamekasirika sana. Sijui kinachofata ni nini
Loud an clear....
 
Tena zitto katumia lugha nzuri angekuwa mkapa angewaita malofa na wapumbavu
 
Tqtzo zitto mm hua simuelew kwa kweli
Yan rais alivoenda kigoma alinishangaza kwa sifa alizomwagia then kwenye mitandao ndo analalamika
Yy alipata nafasi ya kukutana na raid kwann asingemwambia haya
Zitto ndo alinifanya nikabadili mawazo nikaona kumbe kwenye siasa kuna watu wana akili BT sio tena sasa
Zitto ni opportunistic..hana anachokisimamia
Dodoma Area D Saga imebadili mwelekeo wa wanasiasa wengi sana Tanzania.
Wametambua mitutu inamaanisha nini kwa wanasiasa na si kwa wapinzani peke yao ni zaidi ya hapo, mifano ipo ningi duniani,hata ukichukua demu maliamungu anamtamani mtutu halali yako,akitamani jimbo lako unakula shaba sababu zitakuwa zinabadirika wakishachafuka damu sio lazima iwe uzalendo hata sababu binafsi zitatumika take care!
 
Mkuu watoto wa mjini wa exposure bwana no matter wako kwenye list of shame, wakijijini akipata hela anawaza kujenga nyumba ajifiche mvua wakati wa Town anawaza kuzungusha hela kwanza faida ndio ijenge..

Karume aliwaza kujenga nyumba za wazee tena maghorofa enzi hizo, bila exposure asingewaza hivyo. Kuna haja ya kufikiria hili pia..

Mzee JK alituambia Maisha bora kwa kila mtanzania ili tupambane kwa namna tuwezavyo tutoboe maisha na everything went ok kwa tuliomuelewa tukajilipua vya kutosha..Total Engine overhaul karne 21 = Complete Engine failure..
Lakini hawana sifa kama za EL.Hata ukiwa wa town ila ukiwa na sifa ya wizi tu huna tofauti na bushboy
 
Zitto alimpigia kura Mama Anna na UKAWA walimpa kura Lowasa sisi wana CCM tunaimani na Magufuri huyu Zitto alizoea deal za NSSF na kina Dr Dau awamu hii hakuna deal
ndo kawaida yenu nyie mtu akishawasema mnaanza kumpa makashfa ya ajabu ajabu
 
Bahati nzuri Zito hawezi kukamatwa, mwenyewe anasema amechagua kuwa Meneliki Zenawi na sio Mandela.
 
Remember....while one finger points to Zitto, the test are backing to you.

About fingers poiting me its your perspective but , the reality is different.

Also, correct your wording in your sentence as you wrote wrong word in this context.
 
Kwa siasa za TZ zilipofikia....tunahitaji watu wa dizaini hii (ZZK na TL)
 
Back
Top Bottom