Recent content by Mheikungu

  1. Mheikungu

    Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    Hapa Dar kuna upepo sio wa kawaida. Mapaa yenye mabati mabovu yapo kwenye hatari ya kuezuliwa.
  2. Mheikungu

    Paul Makonda adaiwa kumtishia Maisha Salaah wa GSM. Polisi waogopa kumchukulia hatua Makonda

    Ila Msambwanda wa DAB hata Lulu Diva haufikii japo nusu tu
  3. Mheikungu

    Watanzania mngekuwa na mtizamo kama wangu CCM ingekuwa imeondoka tangu 1995 na nchi hii tungekuwa mbali kimaendeleo

    Watanzania tusipobadili mindset tutaishia kulalamika tu kila siku maisha magumu. Shida ya nchi hii ni CCM Kuanzia leo naitangaza ccm kama janga la kitaifa Amkeni amkeniiiiii
  4. Mheikungu

    Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko amesema kuwa serikali haiwezi kusema ni lini mgawo wa umeme utakwisha

    Wameshatuona misukule hawa. Anyway twendeni tu hivyohivyo. Mkiamua kukata hata week nyie kateni tuuu
  5. Mheikungu

    Mbeya: Mama mzazi wa Adamoo aibuka kwenye Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA, ampatia zawadi maalum Freeman Mbowe

    Hongera sana mama. Ninakuombea upate heri uishi siku nyingi hadi uuone ukobozi wa nchi yako ya Tanzania
  6. Mheikungu

    Muliro: Msiogope kuomba lifti kwenye Difenda

    Mzee huko Selo wateja wameisha? Naona upo kwenye kampeni ya kuongeza watuhumiwa kwenye sero zako. Mimi hunipati. Ngashtukaaa
  7. Mheikungu

    Hamisi Taletale na PhD ya USD 2,500

    Wapigwe mawe hadi kufa
  8. Mheikungu

    Tanzania haina Mapato ya kubeba ongezeko la Mishahara yote kwa asilimia 23.3%

    Inapaswa kabla ya kupandisha mishahara serikali iangalie namna ya kupunguza inflation Huku mtaani maisha yamekuwa magumu mno. Unapoongeza mishahara kwa wafanyakazi wa umma je hakuna watu ambao sio wafanyakazi? Hao unawasaidiaje? Au hao hawakuhusu? Au maisha yao is non of your business?
  9. Mheikungu

    Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

    Deeeeeeeeeh swela
  10. Mheikungu

    Ni mpasuko mkubwa ndani ya CCM, kifo cha Hayati Magufuli chatajwa kuwa sababu

    Urudi nchini ee tundu mwana wa lissu
  11. Mheikungu

    Kumlipa Clinical Officer laki 6 sio haki hata kidogo

    Hii nchi ilipofikia kila mtu analamika bila sababu ya msingi Tuchape kazi
Back
Top Bottom