Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko amesema kuwa serikali haiwezi kusema ni lini mgawo wa umeme utakwisha

Bwawa halifunguliwi tena!!!! Tanzania kuna vituko. Lakini tatizo bado vijana mnataka kuwangangania hao CCM msiko dai katiba mjilaumu wenyewe hii ni nafasi ya mwisho. Sisi wengine tutakuwa powa
Mitambo inawashwa na itatupatia megawati 235 za awali na kazi hiyo itaendelea awamu kwa awamu mpaka mambo yatakuwa mazuri mpaka mfurahi wenyewe watanzania wenzangu.
 
Ndugu zangu watanzania ,

Hiyo ni taarifa iliyotolewa na Mheshimiwa Naibu Waziri Mkuu akiwa mkoani Mbeya ,kuwa serikali haiwezi kusema ni lini mgao wa umeme utakwisha bali inachofanya serikali yetu kwa sasa ni kufanya juhudi za kuongeza vyanzo vya umeme kama vile umeme unaotokana na jotoardhi.amesema kwa muda mrefu serikali na Taifa lilikuwa linategemea vyanzo vitatu katika kuzalisha umeme ambavyo vilikuwa ni maji,mafuta pamoja na gas.

Lakini sasa serikali imeamua kuongeza vyanzo vingine vya nishati ya umeme ikiwepo hii ya joto ardhi ambayo ni ya uhakika,endelevu na salama sana kwa matumizi.na kwamba serikali itaongeza kasi katika kukamilisha miradi hii itakayotupatia Kuongeza megawati zitakazo unganishwa katika grid ya Taifa.

Amesema ya kuwa kwa sasa matumizi ya umeme yameongezeka sana kutokana na kasi ya ukuaji wa uchumi na kwamba kwa sasa umeme siyo suala la anasa bali ni matumizi ya lazima kwa mtanzania. Ndio maana serikali yetu inapambana katika kuhakikisha ya kuwa huduma hii ya umeme inapatikana na kuwa ya uhakika.

Rai yangu kwa watanzania wenzangu ni kuwa tuendelee kuwa watulivu na wavumilivu.natambua maumivu yapatikanayo kutokana na mgao wa umeme.natambua kuna wengine wanapata hasara kwa kuharibikiwa na vitu vinavyotegemea umeme kuendelea kuwa salama .nimeona kuna watu wakitupa nyama ya mbuzi,wengine kuku,wengine samaki wabichi baada ya kuwa wameharibika.

Najuwa kwa sasa umeme ni uchumi,ni mtaji kwa vijana wengi na ni pumzi ya watanzania.ukikata umeme ni kama kuwapatia pumzi ya moto Watanzania,ni kuwatia umaskini,ni kuwapa presha wale wanaotegemea wafanye kazi ili warudishe pesa za marejesho kwenye vicoba na vikundi au taasisi mbalimbali za mikopo,ni kuwakatisha tamaa wajasiriamali.

Ni kuwabubujisha machozi wale ambao vitu vyao na bidhaa zao zinaharibika kwa kuoza,najuwa mamia ya vijana waliojiajiri wanategemea umeme kuendesha shughuli zao, kuanzia wale wa salon,gereji, fundi kuchomelea,mashine za kusaga n.k.

Kwa kutambua hayo ndio maana serikali yetu inafanya juhudi kubwa sana kuhakikisha kuwa umeme unapatikana kwa uhakika na muda wote ndio maana serikali inaongeza vyanzo vya nishati badala ya kutegemea vilevile vya miaka yote angali hata idadi ya watu na shughuli za watu zinaongezeka kwa kasi kubwa sana.

Poleni sana watanzania lakini tuendelee kuwa na imani na serikali yetu Sikivu chini ya uongozi shupavu, imara,thabiti na madhubuti wa mzalendo wakweli na mama mwenye upendo na huruma kwa watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Can some one tell this cock sucker, that we don't need over explanations of our problems, and effects of lack of reliable utility, we the people knows, we need the solutions,
Huyu kenge anaposema matumizi ya umeme yameongezeka kwa vile uchumi umekuwa, ni uchumi gani huo? Wanaotumia umeme bongo ni asikimia 40 tu, 60%ya wansnchi hawatumii umeme!
Viwanda gani hivyo vilivyoingezeka vikaongeza matumizi?
Seriously nikiona CCM wanaongea, nasikia Kuta pika, this stupid fucker
 
Nilisha sema miaka mingi imepita umeme Tanzania hautoshi hapa watu kama wewe walikuwa wanabisha na kusema tutauza nje!!
Bwawa la mwalimu Nyerere likikamilika na kuzalisha kwa uwezo wake wote basi litatupatia megawati 2115, ambapo ukiongeza na hivi vyanzo vingine tutakuwa na umeme wa kutosha na wa ziada ambao mwingine tutauza nje ya nchi.
 
Miaka sitini na ushee ya Mgao nawewe unaleta porojo.
Hata idadi ya watu na mahitaji ya umeme nayo yanaongezeka kwa kasi ukilinganisha na mahitaji yaliyokuwepo wakati tunapata uhuru. Kwa sasa umeme ndio uchumi na mtaji wenyewe wa watu.bila umeme hakuna pesa wala kipato.

Ndio maana serikali yetu Sikivu inapambana usiku na mchana kuhakikisha kuwa nishati hii inapatikana kwa uhakika.
 
Bwaaaaa bwaaaaa 😂😂, nimecheka kwa nguvu kinoma, majizi ya kura Sasa yameishiwa uongo. Hapa nilipo ni kama nakuona Lucas. Kitu ccm wanaweza kwa usahihi nchi hii ni kupora uchaguzi, na kukaa madarakani kwa shuruti.
unateswa mno na hii chama 🤓

CCM itaendelea kulinda uhuru wako wa kutoa maoni na itaendelea kukuhudumia daima
 
Can some one tell this cock sucker, that we don't need over explanations of our problems, and effects of lack of reliable utility, we the people knows, we need the solutions,
Huyu kenge anaposema matumizi ya umeme yameongezeka kwa vile uchumi umekuwa, ni uchumi gani huo? Wanaotumia umeme bongo ni asikimia 40 tu, 60%ya wansnchi hawatumii umeme!
Viwanda gani hivyo vilivyoingezeka vikaongeza matumizi?
Seriously nikiona CCM wanaongea, nasikia Kuta pika, this stupid fucker
Nenda hata hapo tu TIC kituo cha uwekezaji Tanzania uone namna uwekezaji ulivyoongezeka hapa nchini kwa miaka hii michache ya jemedari wetu Rais Samia.
 
Back
Top Bottom