Recent content by Mhe. LY

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje, mtu kutembea na mke wa mtu?

    Wanasheria wasomi mkowapi????
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje, mtu kutembea na mke wa mtu?

    Wanajamvi...nauliza. ..sheria inasemaje kwenye swala la:- Mwanamme kutembea na mke wa mtu. Ushahidi upo. #Refer case ya Nabii mwingira...etc
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepigiwa simu ya kazi kutoka ITALY

    Zali hilo dogo....kamua
  4. M

    JamiiForums Tanzania Prophet T.B. Joshua is in South Korea to hold a Pastor's Conference in Shingil Church, Seoul.( 2-3 A

    Prophet T.B. Joshua is LIVE right now on Emmanuel TV preaching at a Pastor's Conference in Seoul, South Korea. Get connected!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maliza basi nimechoka!

    salama si shwari
  6. M

    JamiiForums Tanzania Prophet T.B. Joshua is in South Korea to hold a Pastor's Conference in Shingil Church, Seoul.( 2-3 A

    Prophet T.B. Joshua is in South Korea to hold a Pastor's Conference in Shingil Church, Seoul.( 2-3 April,2014) Right now, Wise Man Racine is ministering to the thousands of pastors who have gathered from across Korea and Asia with a message titled, 'GOD IS FAITHFUL'. Stay connected for LIVE...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wana wa bunda

    elezea kwa kutumia mchoro
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mnapomaliza kufanya mapenzi nani apewe pole?

    mwingine anakupa pole koz kajua keshakuambukiza ukimwi. Ndo maana anakupa pole kwa kukuingiza kwenye #TeamUkimwi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ambaye Anapafahamua Mbeya City

    vyumba vya kupanga ni shilingi ngapi? unaweza ishi mbeya mjini na kufanya kazi chunya nauli ni sh ngapi kuna km ngap kutoka chunya hadi mjin, hospitali zipoje?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ambaye Anapafahamua Mbeya City

    hiyo kawatele ni kijiji cha huko chunya nina ndugu anafanya kazi maliasili hapo na anaishi mbeya mjini
  11. M

    JamiiForums Tanzania Napenda kufanya tendo la ndoa (sex) sana karibu kila siku

    we minyoo inakunyemelea!!!..nenda hospital kachek afya.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa mtu aliye karibu na uhamiaji Kurasini

    illegal migrant: Much thanks mkuu. Barikiwa sana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ambaye Anapafahamua Mbeya City

    wadau nimepangiwa wilaya ya chunya mkoa wa mbeya kwa wanaopahamu mazingira yakoje jamani........
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa mtu aliye karibu na uhamiaji Kurasini

    Wadau..ninahitaji msaada kwa mtu aliyekaribu na ofisi za uhamiaji. ...ninahitaji akaniulizie Passport yangu. Nina kama miezi miwili na zaidi nimeapply na sijaipata. Nimejaribu kuwapigia lakini salio limekata mara mbili bila maelewano. Tafadhali aliyetayari kunisaidia anipm....tuwasiliane...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoifahamu Zambia; Msaada tafadhali nahitaji kwenda kufanya biashara huko

    Hii sred sifuri kabisa. Huyu jamaa atakua wa CCM huyu.
Back
Top Bottom