Msaada: Kwa mtu aliye karibu na uhamiaji Kurasini

Msaada: Kwa mtu aliye karibu na uhamiaji Kurasini

Mhe. LY

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
29
Reaction score
12
Wadau..ninahitaji msaada kwa mtu aliyekaribu na ofisi za uhamiaji. ...ninahitaji akaniulizie Passport yangu. Nina kama miezi miwili na zaidi nimeapply na sijaipata. Nimejaribu kuwapigia lakini salio limekata mara mbili bila maelewano.

Tafadhali aliyetayari kunisaidia anipm....tuwasiliane.

Tafadhali.

Nipo mbali na daslamu. Na huku nilikoapplaia wananiambia bado hazijafika.
 
Kama una mtu yoyote Dar unaefahamiana nae - wasiliana nae, mtumie stakabadhi yako kwa njia ya fax akajaribu kuangalia kama imeshatoka
 
Wadau..ninahitaji msaada kwa mtu aliyekaribu na ofisi za uhamiaji. ...ninahitaji akaniulizie Passport yangu. Nina kama miezi miwili na zaidi nimeapply na sijaipata. Nimejaribu kuwapigia lakini salio limekata mara mbili bila maelewano.

Tafadhali aliyetayari kunisaidia anipm....tuwasiliane.

Tafadhali.

Nipo mbali na daslamu. Na huku nilikoapplaia wananiambia bado hazijafika.

kaka passport majina huwa yanaangaliwa huku makao makuu ya wizara ya mambo ya ndani hata kuchukua huwa wanachukulia huku siyo kurasini bali ni hapa posta mpya labda kama utaratibu umebadilika ni pm tuongee mkuu
 
Ningekusaidia ndugu yangu tatizo nina RB pale Police kilwa road. Wananitafuta kama mtu amedondosha pesa. Wema wangu usije kuniponza nikanyea debe.
 
Watakuwa wanataka rushwa hapo, halafu hizi idara za serikali wafanyakazi wake uwa wananishangaza, wanataka rushwa ili kukuhudumia lakini midomo yao mizito kusema au wanafikiri watu wote ni manabii wa kuweza kujua mawazo yao. Ongeeni acha kujibaraguza tu na kufanya vitimbi utafikiri mnatongozwa
 
Wanataka hela tu hao, Uhamiaji ni idara ya ki*** sana. Hata ukienda umekamilisha documents wanazotaka bado utazungushwa tu. Kuna watu wako pale wamefanya huu kama utaratibu wa kawaida.
 
Back
Top Bottom