Recent content by Mhdiwani

  1. Mhdiwani

    Naleta wateja kwenye biashara yako/company, unanipa commission

    Ok vzr hapo kuna uwezekano mkubwa wa kupata msaada
  2. Mhdiwani

    Miche ya strawberry

    2000
  3. Mhdiwani

    Miche ya strawberry

    Habari wadau wa kilimo ufugaji na uvuvi Kama Kuna mdau anahitaji Miche ya strawberry tunayo ipo aina ya Chandler Tupo Arusha 0683505822
  4. Mhdiwani

    Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Huyo dogo naskia alikua swahiba sana Boby
  5. Mhdiwani

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Putin hayupo leo
  6. Mhdiwani

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hao kacobet mamaee kbs [emoji25]
  7. Mhdiwani

    Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

    Mi nilichomuelewa mtoa mada kamaanisha jezi ya njano yenye michoro mingi Lkn pia naona Yanga hio jezi hawapendelei kuivaa nafkiri Kuna Jambo wamegundua
  8. Mhdiwani

    Ajira bwawa la umeme Tanga

    Ni kweli mkuu ukiwa na fani yoyote unapata ajira kwa siku 30,000
  9. Mhdiwani

    Kilimo Cha strawberry

    Kilimo cha strawberry kinachangamoto Kama umenunua Miche tu na kupanda kabla hujajiridhisha kuhusu aina za mbegu na sifa zake Mi ni mkulima pia na nilinunua mbegu ambazo ndani ya miezi 3 inatoa matunda Na je umepanda mbegu gani? Kuna tristar pajero na Chandler Upo mkoa gani nichek 0657 560542...
  10. Mhdiwani

    Nimepoteza hamu ya kushiriki tendo

    Tafuta black seed oil
  11. Mhdiwani

    Natafuta mbegu ya miche ya mchongoma

    Huku zipo nyingi ngoja niulizie
  12. Mhdiwani

    Nafasi za kazi za muda sensa 2022

    Kupotezeana muda tu bila connection hupati Ishu ya post code ni watoto wa walimu watendaji ndugu jamaa na marafiki Kama vp wapeni pia na nafasi hizi Kule Tanga Jimbo la mkinga sehem inaitwa mavovo wamepeka watoto wao wamevulunda Sana kwenye ishu ya post code
  13. Mhdiwani

    SOLD: Nauza frizer used

    Upo wp mkuu
  14. Mhdiwani

    INAUZWA Miche ya strawberry

    Ishu sio kustawi ishu ni uzaaji Kwa mikoa ya pwani Chandler ndo inafanya vzr kuliko pajero na Trista Kwahio aina hii ya strawberry inazaa kwa mikoa ya pwani
  15. Mhdiwani

    INAUZWA Miche ya strawberry

    Ndio lkn kwa mbegu hii tu ya Chandler Sisi tupo Tanga na kina stawi vizuri tu
Back
Top Bottom