Ajira bwawa la umeme Tanga

Ajira bwawa la umeme Tanga

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,191
Reaction score
1,629
Nimepata taarifa Sino hydro wamepewa tenda mpya kujenga bwawa jipya la umeme tanga he hii ni kweli? Nataka nichangamkie tenda
 
Nimepata taarifa Sino hydro wamepewa tenda mpya kujenga bwawa jipya la umeme tanga he hii ni kweli? Nataka nichangamkie tenda
Chako ni chako ni Chaka la long time kabla Jembe hajawakurupusha wafanyakazi kuhama jijini Daslam mwekezaji inabidi apaboreshe.
 
Ni kweli mkuu ukiwa na fani yoyote unapata ajira kwa siku 30,000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom