Samahani Mkuu, tunaomba ujikite kwenye mada. Na usitumie hii thread kufanya Matangazo kwani jukwaa la matangazo lipo.
Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani
Asante.
Nakushauri anzisha uzi wa vitabu na uchambuzi wa Vitabu vya tiba au uzi wa Uchawi. Lakini sio mnaleta mada ndani ya mada ya mtu mwingine. Kujadili vitabu sio lengo la mleta thread. Thread inahusu mimea tiba sio Vitabu vya tiba. Tujikite kwenye mada.
Nimekutana na hii babari kwamba Rais wa CAF bwana Dr.Motsepe anasema wanatarajia kuzindua Mashindano Mapya barani Africa yatakayojulikana kama Super League mwezi wa Agasti Nchini Tanzania..
Mashindano hayo yatakuwa na zawadi ya dola mil.100 sawa na zaidi ya bil.220 za Tanzania.
Chapisho hili ni la tarehe 18 Julai 2022, likionesha Rais Kim Jong-Un akihutubia katika mkutano wa Chama cha Wafanyakazi jijini Pyongyang, hata hivyo, mkutano wa mwisho wa Chama cha Wafanyakazi ambao Rais Kim alihudhuria ulikuwa mkutano wa 8 wa Chama cha Wafanyakazi, mkutano uliofanyika Juni 29...
Google na kampuni nyingine za teknolojia zimeshutumiwa kukiuka kanuni za ulinzi wa taarifa za Ulaya(GDPR) ambapo wanatoa taarifa za watumiaji kwa mamia ya watangazaji.
Wadai wamefungua madai hayo kwa mamlaka za Uingereza na Ireland kwa niaba ya Brave na Open Rights Group.
Brave inadai...
Kila siku Serikali kupitia vitengo vyake mbalimbali wanabuni njia za kuongeza mapato.
Tozo mpya ya shilingi milioni moja kwa magari yanayokodishwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo ya kubeba miili ya marehemu inatazamiwa kupitishwa na kuanza kutumika, kumbuka tozo hiyo inayosimamiwa na...
Picha hii inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikibainisha kuwa huu ni uwanja wa ndege ya Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam.
Jamii Check tusaidieni kufuatilia hili.
Picha inayodaiwa kuonesha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere
Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe na imejengwa kwa garama za Mbunge na haiko halmashauri kama inavyopotoshwa
Huu ni Mwonekano wa...
Hivi karibu kumekuwepo na taarifa ya kuwataka watu kutokula vitafunwa kama vile mikate n.k kwa ajili ya kuepuka maambukizi ya CoronaVirus
Taarifa hiyo ili kupewa uhalali wake, iliambatanishwa na nembo ya Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa(WHO) imesambaa kwenye Mitandao ya Kijamii ikidai watu...
Juni 14, 2021 mitandao mbali mbali ya kijamii ilirindima kwa uvumi kuwa kuna mayai ya kuku kutoka nje ya Tanzania ambayo yamefanya mayai nchini yauzwe kwa Tsh. 4000 kwa trei la mayai 30, hali iliyoleta taharuki kwa wafugaji wa kuku nchini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.