Recent content by Mharakati Tanzania

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi Kwa CHADEMA

    Sasa nimewekeza nguvu zangu kuwaelemisha ndugu zangu walioko kijijini kuwa CCM haifai tena. Nafafanue sera ya CDM wakati mwingine kinyumbani ili tu watu wabadilike. Juzijuzi m/kiti wa kijiji kachaguliwa wa CDM. Mwakani ntaomba likizo kuwahamasisha wanchi kuifahamu CDM na kuiunga mkono...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mauaji yanayofanywa na polisi, ni mauaji ya kisheria

    Huku mtaani CCM inasubiri kwa hamu na wananchi kupigwa chini; CDM inapanda chata mno; Bahati nzuri ccm hawako aware na hilo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinawapa ujeuri wabunge wa CHADEMA?

    Magamba wamekuweka zamu nini ? Kila siku unatuma pumba hapa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bulembo achemka Biharamlo jioni ya leo

    Bulembo hastahili hata umonitor wa darasani.
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inavyoliangamiza Taifa!

    CDM ni chama makini isingewatesa hivyo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inavyoliangamiza Taifa!

    Unajitahidi kumdanganya nani ? CCM ni wezi kila mtu anajua hivyo. CCM ni wachovu kila mtu anajua hivyo. CCM ni propaganda daima kila mtu anajua hivyo. Bado hunishawishi hata kidogo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya CUF kwa yanayoendelea Arusha sasa hivi

    Mshauri mumeo CCM
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    Kila mahali, kila wakati tuhakikishe tunawanyima polisi ushirikiana. Haiwezekani watumike kama kondoo; Polisi nikuwachukia tu. Hakuna kuwasalimia na kubadilishana mawazo popote pale; Nachuki sana na ploisi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge "Sugu" apata ajali ya gari!

    Pole kamanda
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tunakwenda Arusha kesho

    Naomba uondoe hiyo avatar yako. Inaumiza wengi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tunakwenda Arusha kesho

    Naunga mkono hoja
  12. M

    JamiiForums Tanzania IGP: Tutamhoji Mwigulu, mwenye kujua wahusika wengine wanitumie ujumbe 0754785557!

    Nimeshatimiza wajibu wangu wa kuripoti uhalifu polisi. Na wewe timiza wajibu wako.
  13. M

    JamiiForums Tanzania IGP: Tutamhoji Mwigulu, mwenye kujua wahusika wengine wanitumie ujumbe 0754785557!

    Pia Jul;iana si wakuachwa. Amechochea vya kutosha.
  14. M

    JamiiForums Tanzania IGP: Tutamhoji Mwigulu, mwenye kujua wahusika wengine wanitumie ujumbe 0754785557!

    Kuthibitisha ukweli kuwa Mwigulu ni mchochezi ni vizuri tukatumia kauli zake kupitia video wakati wa kampeni Arusha.
Back
Top Bottom