Zitto Kabwe: Tunakwenda Arusha kesho

Zitto Kabwe: Tunakwenda Arusha kesho

Waziri kivuli wa fedha Mh.ZITTO KABWE hatasoma bajeti ya kambi ya upinzani kwani wabunge wote wa CHADEMA watakwenda ARUSHA kesho.SOURCE FACEBOOK WALL YA ZITTO MUDA HUU.
Wampe ndungai tu halafu waondoke. Wasira anaweza kuisoma, si bado ana kadi ya NCCR?
 
hiyo bajet ya upinzani haina maana yeyote, ni bora waende Arusha kutafuta sifa, siasa za matukio kama kawaida yao.
 
Kwa ccm ni furaha! Kamwe hawataahirisha kwa jinsi ninavyowajua hawa ccm
Hiyo hotuba ya CHADEMA atuwekee hapa Jamvini tu maana kwa MACCM tukio la Arusha ni shangwe maana kama tungekuwa na Bunge makini kesho ingekuwa siku ya off kama walivyofanya kwenye mambo ya Mtwara, nadhani Mtwara walikatisha shughuli za Bunge kwa vile tukio lile likuwa linahatarisha maslahi ya CCM na mikataba feki na wawekezaji/wauzuajiwa raslimali zetu.

Hamtapoteza kitu waachieni Bunge wapitishe haraka haraka bajeti ya majanga, maana sisi raia hatuoni kitu hapo, Tunawashukuru sana watetezi wetu. Mungu awe nanyi katika safari ya Arusha.
 
Twendeni arusha makamanda tukalie na maskini wenzetu waliodhulumiwa uhai wao kwa udhalimu wa masisiem,tuwaachie bunge lao walale,wajampe na wakiamka waunge mkono hoja mia kwa mia!
Tutaionyesha dunia kwamba tanzania si mahala salama tena hasa kwa shAitwani nyinyiem anayekwenda kujifia,wamebaki wakiimba amani midomoni mwao kwa unafiki wao.......Aluta continue!!!!
 
wabunge wa chadema wamesema hawatahudhuria vikao vya bunge. Tafsiri yangu ni kuwa chadema kwanza utaifa baadaye. Arusha ina mbunge wake na viongozi wake.iweje wabungu wote wa kambi rasmi ya upinzania wasiwakilishe wananchi wao? Kwa nini mlipuko umetokea baada ya mbowe kuondoka. Arranged!!.
na wewe kumbe ni mav. Tu huwezi kucheza na maisha ya watanzania hivi. Munaua watu halafu mnataka tubakie kimya. Suala la bajeti hata wabunge wote wawepo haitasaidia kitu maana wauaji ni wengi kuliko magwanda.
 
Hiyo hotuba ya CHADEMA atuwekee hapa Jamvini tu maana kwa MACCM tukio la Arusha ni shangwe maana kama tungekuwa na Bunge makini kesho ingekuwa siku ya off kama walivyofanya kwenye mambo ya Mtwara, nadhani Mtwara walikatisha shughuli za Bunge kwa vile tukio lile likuwa linahatarisha maslahi ya CCM na mikataba feki na wawekezaji/wauzuajiwa raslimali zetu.

Hamtapoteza kitu waachieni Bunge wapitishe haraka haraka bajeti ya majanga, maana sisi raia hatuoni kitu hapo, Tunawashukuru sana watetezi wetu. Mungu awe nanyi katika safari ya Arusha.

Umetisha sana kaka yangu!
 
Naamini una shida kubwa kichwani! Hivi unaelewa nini kilijiri kwenye tukio la mlipuko mkutanoni au unajisemea tu, ili mradi uwafurahishe MABWANA zako?

Mbona huulizi Wabunge wa MAGAMBA wanao toroka vikao vya bunge au wanao lala ndani ya Bunge? Si afadhali hao wa KUB walio amua kwenda kwenye mazishi kuliko wa kwenu ambao wamegeuka kuwa watetezi wa serikali badala ya kuwatetea wananchi!!!

Kamuambie aliye kutuma kwamba huko ulipo nituma ni kugumu. Kuna GT na sio vilaza kama nyie!!

SHY AWAY!!!

Dats wats up brother wamezoea hao!
 
Wabunge wa CHADEMA wamesema hawatahudhuria vikao vya bunge. Tafsiri yangu ni kuwa CHADEMA KWANZA UTAIFA BAADAYE. Arusha ina mbunge wake na viongozi wake.iweje wabungu wote wa kambi rasmi ya upinzania wasiwakilishe wananchi wao? Kwa nini mlipuko umetokea baada ya MBOWE KUONDOKA. Arranged!!.

Mmevua magamba! Kilicho baki hamuwezi kukaa uchi ila tutawavalisha MAGWANDA! Mtasilimishwa tuu mtake mstake c mmevua wenyewe?
 
Facebook na twitter hazijanishawishi kuwa mwanachama hai kwani naona kama kuna uvulana na usichana mwingi huko.
 
Back
Top Bottom