Tanzania bila CCM inawezekana, Watanzania tubadilike tusikubali kununuliwa kama karanga kwa nafasi tena CCM iendelee kutuibia rasilimali zetu tulizoachiwa na wazalendo wa kweli wa nchi hii, tusiwape tena nafasi CCM waendelee kutupa Huduma mbovu za Afya na Elimu tubadilike
Inawezekana bila ccm lakini kuongozwa na cdm ni janga.