Recent content by Mhakiki

  1. Mhakiki

    JamiiForums Tanzania Lissu amesahaulika kabisa na watu hawana habari naye kabisa mitaani. Ni lazima ajue hana umuhimu wowote

    Kuteka,kuua watu,kujeruhi na kufungia nyumba za ibada hiyo ndo akili timamu
  2. Mhakiki

    JamiiForums Tanzania Watanzania tutamlinda, kumpigania na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile

    Mimi niondoe siyo mmoja wao
  3. Mhakiki

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kuacha pombe ila nashindwa

    Tumia njia zilizosababisha ujifunze kunywa pombe ujifunze pia kuacha pombe. 100.0% ya wanywa pombe hufundishwa au huwaiga marafiki wao na hakuna MZAZI hata mmoja ulimwengu wa Leo anayefundisha MTOTO kunywa pombe. Hivyo achana na marafiki na watu wa karibu ambayo wanatumia pombe.
  4. Mhakiki

    JamiiForums Tanzania Padri Muchunguzi ashangazwa na kauli za Rais, asema waumini wetu ni wanasiasa lazima tuwarekebishe

    Anayetakiwa kuheshimiwa na yeye hajiheshimu na sisi tufanyeje?
  5. Mhakiki

    JamiiForums Tanzania Mlengaji wa kiwanja njoo fasta nimekuletea dhahabu.

    Hajui maana ya jf kuwa ni GT
  6. Mhakiki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

    Mkuu hata Mimi naona ni Imani tu,hakuna ushahidi wa kisayansi
  7. Mhakiki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

    Mkuu hii Ina ushahidi wowote wa kisayansi? Hata hapa nilipo Wana Imani hiyo ila Mimi Nina ex wangu ana WATOTO kadhaa na ameolewa. WATOTO wake wakifikisha miezi 8 tunaanza michezo na wako vizuri usipime ndiyo maana nauliza mkuu kama Kuna ushahidi wa kisayansi
  8. Mhakiki

    JamiiForums Tanzania Mtu akiwa Waziri anaendelea kuchukua posho za kibunge?

    Jibu ni ndiyo na wapo na wengine kama mwanasheria mkuu wa serikali
  9. Mhakiki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?

    Hapo mme atakuwa analazimisha mke aabudi anako abudi baba. Kumbuka kufunika kichwa kwa baadhi ya dini ni ibada
  10. Mhakiki

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu mkeka wangu wa wikend Campuny betway Steka 25000 Codi 106CD4D5 Naombeni ushauri KUHUSU maboresho kabla ya kuplace bet
  11. Mhakiki

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukiweka GG bila hiyo mbili mkeka umewini. Lakini ukiweka GG2+ maana yake wafungane na Kila timu ipate magoli 2 au zaidi yaani 2 3,2 2,5 2 nk.
  12. Mhakiki

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapana mkuu hapo timu ya nyumbani ifunge magoli matatu mfululizo bila Barca kufunga
  13. Mhakiki

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu kweli angalia hao waliofungana 3/3 wanakona ngapi?
  14. Mhakiki

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huko champion ship Kuna Kuna ma p Didi mawili nimeyaomba Kona 8 ft Cha ajabu yamefungana jml ya magoli 6 Kona 2 Kila kipindi Kona 1 na ndiyo yaliyochana
  15. Mhakiki

    JamiiForums Tanzania Gachagua ilikuwa kama Nape pale Mlimani City lakini baada ya Zuio la Mahakama Dereva na Walinzi wamerudi kushika Zamu zao!

    Hao walinzi wako hawatatambuliwa na idara ya ulinzi hivyo sijui watatekeleza majukumu Yao saa ngapi na wapi. Huenda Mimi sijaelewa.
Back
Top Bottom